figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nakuunga mkono kwa asilimia zoteKazi ya kulinda rasilimali za nchi Yako usitegemee raia wa nchi nyingine waje kukulindia. Jitafakari ongeza wivu mkubwa ktk mambo yako
Wapi pametajwa jiwe? Au bangi zinakusumbua?Jiwe linaunguaje.!?
😂😂😂Wazee wa tours waungane kuuzima , nani kama mama yuko zake kizimkazi anakula taarabu za mzee isa matola na bi kidude
We mwehu kwahiyo milima kilimanjaro ni andazi lililotuna limegandiwa na barafu.!Wapi pametajwa jiwe? Au bangi zinakusumbua?
Hamna kinachoungua ni nyasi za Savana na msitu ukisema mlima hailiwezekani. Japo moto ni kila mwaka nadhani kuna mwanya wakupiga hela.Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe.
Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea.
Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho.
Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho kwenye magari ya watu utadhani waliwanunulia.
Kilimanjaro haina magari ya Zima moto? Kwanini mlima unateketea na moto hauzimwi?
View attachment 3680382
Ila haters wa Samia aisee, acha tu. Mungu ataendelea kumsaidia mja wake huyu ambaye mashetani hawalali kuhakikisha anaangamia.Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe.
Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea.
Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho.
Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho kwenye magari ya watu utadhani waliwanunulia.
Kilimanjaro haina magari ya Zima moto? Kwanini mlima unateketea na moto hauzimwi?
View attachment 3680382
Una kiwango kikubwa Cha ujingaYaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe.
Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea.
Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho.
Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho kwenye magari ya watu utadhani waliwanunulia.
Kilimanjaro haina magari ya Zima moto? Kwanini mlima unateketea na moto hauzimwi?
View attachment 3680382
Tuliwakasimisha jirani wa Jamhuri ya watu wa Unguja na Pemba watutawale.Kazi ya kulinda rasilimali za nchi Yako usitegemee raia wa nchi nyingine waje kukulindia. Jitafakari ongeza wivu mkubwa ktk mambo yako
Dogo my take ni wewe ndo uache ujinga.Una kiwango kikubwa Cha ujinga
Tulishafanya kosa tuendelee kubeba mzigo wetu wa misumaliTuliwakasimisha jirani wa Jamhuri ya watu wa Unguja na Pemba watutawale.