DOKEZO Mlima wa Morogoro unaungua, Serikali ya Mkoa ingilieni kati

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Muda huu mlima wa morogoro unaungua naiomba serikali iingilie kati mkuu wa mkoa tuma timu ikazime kwakweli inaumiza sana kwasisi wapenda mazingira.
Miaka yote Waruguru wanachoma mlima hata kabla hujazaliwa wewe. Hiyo ni matambiko yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…