Mlimani City-badoooo....

Kuanzia sasa nikienda shopping mlimani city ntakuwa naacha VOGUE yangu nyumbani, ntakuwa natumia MERCEDES BENZ AU BMW kama honey wangu atakuwa hajatoka nayo.
 
Kuanzia sasa nikienda shopping mlimani city ntakuwa naacha VOGUE yangu nyumbani, ntakuwa natumia MERCEDES BENZ AU BMW kama honey wangu atakuwa hajatoka nayo.

ile ESCALADE bado unayo....:glasses-nerdy:
 
Wizi huu unalelewa na serikali yetu, kutokea ile ya Nyrerere hadi hii ya leo. Polisi wanajua kabisa wapi vifaa vya magari vinavyoibiwa vinauzwa lakini wanajitia hawajui kabisa. Hawa wauza vifaa vya wizi wamekuwa kama ni serikali pia. Wanaogopwa saaaaaaaaaaaaaaaaana.
 
Bado ninayo huwa naitumia kuendea kwenye corporate meetings siyo kwa ajili ya shopping.
umetisha.....jana nilisikia wambea wanasema eti unahusika kutengeneza ARV FAKE....
 
mama dunia ndo dunia hiyooo. iukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
 
Hapana, side mirrors na maisha ya mtu wapi na wapi? Huwezi linganisha..acha sheria ichukue mkondo wake..kila mtu anakosea ndugu.
 
Mnaonaaje sasa tusign petition tuipleke kwa Waziri wa Mambo ya ndani kuhusu wizi wa vifaa vya magari jijini DAR?
 



dah,,mjin dsm hapa
maisha hayaeleweki eleweki
umdhaniae ndiye kumbe....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…