Mlimani City: Kongamano la Maendeleo Sekta ya Habari Tanzania, Mgeni Rasmi ni Rais Samia Suluhu. Karibuni

Mlimani City: Kongamano la Maendeleo Sekta ya Habari Tanzania, Mgeni Rasmi ni Rais Samia Suluhu. Karibuni

Rais amewapongeza wanahabari wanne, Beatrice Bandawe, kwa kupata tuzo ya Wahariri. Pia amewapongeza Ernest Sungura, Deodatus Balile na Kajubi Mukajanga kwa kuteuliwa nafasi za kimataifa.
P
 
Rais amewapongeza wanahabari wanne, Beatrice Bandawe, kwa kupata tuzo ya Wahariri. Pia amewapongeza Ernest Sungura, Deodatus Balile na Kajubi Mukajanga kwa kuteuliwa nafasi za kimataifa.
P
Wanafiki na Wasaliti katika Tasnia Wamepongezwa huku Mmoja wao mwinfgine sasa Akijipendekeza ili akumbukwe Kiutezi.
 
Rais Samia kasema Kalamu ina makali kuliko Upanga, amawataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao, kuhamasisha amani na sio Upanga
P
 
Duh...!, na mimi ni binadamu, nimeumbwa kwa mwili wa nyama, naomba nitendewe haki!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Nimesema kuna Mtu anajipendekeza sasa anataka Uteuzi na sidhani kama kuna mahala nimemaanisha Wewe Acha kujishtukia tafadhali. Anyways jitahidi baada ya huo Mkutano hapo ufanye kila uwezalo ili upige nae Picha uje ututambie nayo hapa kisha nisalimie sana yule Njagu ( Mtu wa PSU ) aliyevalia Ushungi ( kama Demu ) jana pale Msikiti wa Mwinyi Mikocheni.
 
Naona leo tena kamtaja Max, Jamiiforums. Pia kaitaja ile account ya Twitter inayopiga spana ya Tanzania leaks.

Ngoja luca aanze kububujikwa na machozi 😭
 
Back
Top Bottom