Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna la maana kweli hapo?Wanabodi
Karibuni katika tukio hili
View: https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DOPaskali
Wanafiki na Wasaliti katika Tasnia Wamepongezwa huku Mmoja wao mwinfgine sasa Akijipendekeza ili akumbukwe Kiutezi.Rais amewapongeza wanahabari wanne, Beatrice Bandawe, kwa kupata tuzo ya Wahariri. Pia amewapongeza Ernest Sungura, Deodatus Balile na Kajubi Mukajanga kwa kuteuliwa nafasi za kimataifa.
P
Kaka Paskali kwanini TEF haina uwakilishi sawia wa Editors from across all media sect! Kwanini leadership ya TEF iko biased kwenye print media zaidi!Wanabodi
Karibuni katika tukio hili
View: https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DOPaskali
Duh...!, na mimi ni binadamu, nimeumbwa kwa mwili wa nyama, naomba nitendewe haki!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Wanafiki na Wasaliti katika Tasnia Wamepongezwa huku Mmoja wao mwinfgine sasa Akijipendekeza ili akumbukwe Kiutezi.
Huu ni ugombanishi na Marehemu, amuache Baba wa watu apumzike kwa amani. Lazima afanye nao kwa ukaribu kipindi hiki. Wamsifie kuelekea 2025. Kampeni zimeanza mapema sana.Rais Samia ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na vyombo vya habari, sio kama "kipindi kile"
P
Nimesema kuna Mtu anajipendekeza sasa anataka Uteuzi na sidhani kama kuna mahala nimemaanisha Wewe Acha kujishtukia tafadhali. Anyways jitahidi baada ya huo Mkutano hapo ufanye kila uwezalo ili upige nae Picha uje ututambie nayo hapa kisha nisalimie sana yule Njagu ( Mtu wa PSU ) aliyevalia Ushungi ( kama Demu ) jana pale Msikiti wa Mwinyi Mikocheni.Duh...!, na mimi ni binadamu, nimeumbwa kwa mwili wa nyama, naomba nitendewe haki!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
Porojo as usual, kisha mnaendelea kuwa na uandishi wa kichawa zaidi.Wanabodi
Karibuni katika tukio hili
View: https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DOPaskali