Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kuna mambo ni akili tu inahitajika!Unalalamika nini wakati unajua kabisa hii nchi ni UTOPOLO.
You need to either help changing the system or get used to it.
Tena utopolo daraja la kwanza, Nina ndugu yangu yupo Tanga ni mtumishi wa serikali nimewasiliana naye muda si mrefu anasema wapo uwanja wa ndege wanamsubiri Majaliwa tangu saa tatu asubuhi.Unalalamika nini wakati unajua kabisa hii nchi ni UTOPOLO.
You need to either help changing the system or get used to it.
Nani mwenye akili ndani ya utawala huu.Kuna mambo ni akili tu inahitajika!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wewe dada bhana. Eeehee!!Kwahiyo unataka waziri mkuu adhurike? Yaani tuweke maisha ya waziri mkuu atarini? Haiwezekani
Nani atamdhuru mpendwa, watu wanataka kuonekana wanafanya kazi huku hawaoni madhara ya kazi yao!Kwahiyo unataka waziri mkuu adhurike? Yaani tuweke maisha ya waziri mkuu atarini? Haiwezekani
We Dada mwambie mumeo akutafutie kazi aiseeKwahiyo unataka waziri mkuu adhurike? Yaani tuweke maisha ya waziri mkuu atarini? Haiwezekani
magufuli mitano tenaUnalalamika nini wakati unajua kabisa hii nchi ni UTOPOLO.
You need to either help changing the system or get used to it.
Du.... saa tano au sita yuko Mlimani City, watu Tanga wako standby toka saa tatu!Tena utopolo daraja la kwanza, Nina ndugu yangu yupo Tanga ni mtumishi wa serikali nimewasiliana naye muda si mrefu anasema wapo uwanja wa ndege wanamsubiri Majaliwa tangu saa tatu asubuhi.
Hata kulalamika ni sehemu ya kupashana habari na kukataa mabaya katika kubadilika.Unalalamika nini wakati unajua kabisa hii nchi ni UTOPOLO.
You need to either help changing the system or get used to it.
Hayo mambo mengine yanafanywa makusudi kukuonesheni tu nani mkubwa.Tena utopolo daraja la kwanza, Nina ndugu yangu yupo Tanga ni mtumishi wa serikali nimewasiliana naye muda si mrefu anasema wapo uwanja wa ndege wanamsubiri Majaliwa tangu saa tatu asubuhi.