Mlimani City sasa hivi: Kero hii haikubaliki!!

Waandaaji marathon hasa hii ya Leo wamekosea Sana kuweka ile mbio pale na siku.. Kawaida marathon huwa inafanyika jumapili coz hakuna Shughuli nyingi za watu pili ile mbio ilitakiwa ifanyike pembeni ya mji ambapo Hakuna movements nyingi za watu... Sasa unafunga access ya eneo LA mwenge Masaa mawili unategemea nn?
 
Kweli wangeenda kumalizia Uwanja wa taifa.

Siku hizi fashion ni marathons, Kili, Selous, Rock city, hata ukienda Kongwa waweza kukuta Idodomya Marathon, 2-3wks ago kulikuwa na night marathon Dar, niliona msafara Masaki..

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Sasa hivi ninavyo andika nimetokea njia ya Sam Nujoma,Ubungo kwenda Mwenge.
Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.

Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.

Pili baada ya dk 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.

Geti la pili kule kuelekea Survey ndo foleni tena ya kufa mtu.

Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani.
Kwa akili ya kawaida najiuliza hiviwaandaaji wanatumia akili kweli?

Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?

Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja

Sijui tunafikiri kutumia nini?
Sio kweli waziri mkuu yupo tanga kwenye kampeni
 
Basi hata uongozi wa mkoa ungetangaza kuwa leo majira ya saa flani barabara flani na mitaa flani kutakuwa na event flani.
 
Hao waliopanga foleni geti la survey nadhani wangekuwa ni mfano wa kuiga kwa upande wako, ungepanga tu foleni hadi uingie, otherwise si kila siku waziri mkuu anakuja hapo.
 
Unalalamika nini wakati unajua kabisa hii nchi ni UTOPOLO.

You need to either help changing the system or get used to it.
kinachonikeraga ni watu wote kuonekana waovu mbele ya viongozi wetu inanikeraga sana hii..yaani akishaingia kiongzi ndani basi nyie wa njee kazi mnayo..je kama unamgonjwa inakuaje hapo??
 
Basi hata uongozi wa mkoa ungetangaza kuwa leo majira ya saa flani barabara flani na mitaa flani kutakuwa na event flani.
hilo swala unalijua ww ndgu ...ukija eneo la tukio ndo utajua hapohapo kaka
 
Hao waliopanga foleni geti la survey nadhani wangekuwa ni mfano wa kuiga kwa upande wako, ungepanga tu foleni hadi uingie, otherwise si kila siku waziri mkuu anakuja hapo.
chukulia kama unamgonjwa kwenye gari??ungefanyaje hapo??na matraffic wanakuwaga pale kwenye kile kibanda muda wote
 
Kuna hospital mlimani city mule? Au foleni ni hadi kutoka? Eitherway, si kila siku Waziri mkuu anakuja hapo
 
Hata kulalamika ni sehemu ya kupashana habari na kukataa mabaya katika kubadilika.

Kuna watu wanakubali linalolalamikiwa kuwa ni jambo la kawaida.

Safari ndefu huanza na hatua moja.

Ili kutatua tatizo, jambo la kwanza ni kukubali hili ni tatizo.

Kuna watu bado hawajaelewa nankukubali kwamba hilo linalolalamikiwa ni tatizo. Wanaona ni kawaida tu.
Safi sana mkuu.
Umelielezea vizuri.
Kuanza kutatua tatizo ni kukubali kuwa kuna watu walipa kodi tunakereka sana kama kazi zetu za kawaida za kujipatia kipato halali zinaingiliwa na shughuli ambazo kimsingi tunaona ni kero.
Hili halihusiani na siasa wala chama chochote.
Hapa Jijini misafara imekuwa kero kubwa.
Inabidi serikali ione njia mbadala ya kulitazama hili.
 
Sasa hivi ninavyo andika nimetokea njia ya Sam Nujoma,Ubungo kwenda Mwenge.
Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.

Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.

Pili baada ya dk 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.

Geti la pili kule kuelekea Survey ndo foleni tena ya kufa mtu.

Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani.
Kwa akili ya kawaida najiuliza hiviwaandaaji wanatumia akili kweli?

Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?

Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja

Sijui tunafikiri kutumia nini?
Si wamehamia dodoma hao,sasa wanafwata nini hapa dar na kutuletea kero?
 
Sasa hivi ninavyoandika nimetokea njia ya Sam Nujoma, Ubungo kwenda Mwenge. Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.

Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.

Pili baada ya dakika 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.

Geti la pili kule kuelekea Survey ndio foleni tena ya kufa mtu.

Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani. Kwa akili ya kawaida najiuliza hivi waandaaji wanatumia akili kweli?

Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?

Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja

Sijui tunafikiri kutumia nini?
NILIWAAMBIA HUMU JAMVINI "MKOLONI MWEUSI NI HATARI SANA KULIKO MKOLONI MWEUPE".
 
Hivi huyu mtu bado tu ni Waziri Mkuu au kabakiza cheo cha “Mjumbe wa Kamati Kuu ya NEC”?
 
Sasa hivi ninavyoandika nimetokea njia ya Sam Nujoma, Ubungo kwenda Mwenge. Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.

Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.

Pili baada ya dakika 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.

Geti la pili kule kuelekea Survey ndio foleni tena ya kufa mtu.

Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani. Kwa akili ya kawaida najiuliza hivi waandaaji wanatumia akili kweli?

Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?

Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja

Sijui tunafikiri kutumia nini?
Usalama wa viongozi wetu kwanza kabla ya jambo lingine lolote.
 
Back
Top Bottom