Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
ni sawa lkn Mahiti haijawahi kudhulika uliza popote Duniani, kwanza inakimbiwa, nani wa kuchezea nyenyere? walking dead body?Kwahiyo unataka waziri mkuu adhurike? Yaani tuweke maisha ya waziri mkuu atarini? Haiwezekani
Af wewe ujue mmmmh!magufuli mitano tena
Kweli wangeenda kumalizia Uwanja wa taifa.Waandaaji marathon hasa hii ya Leo wamekosea Sana kuweka ile mbio pale na siku.. Kawaida marathon huwa inafanyika jumapili coz hakuna Shughuli nyingi za watu pili ile mbio ilitakiwa ifanyike pembeni ya mji ambapo Hakuna movements nyingi za watu... Sasa unafunga access ya eneo LA mwenge Masaa mawili unategemea nn?
Sio kweli waziri mkuu yupo tanga kwenye kampeniSasa hivi ninavyo andika nimetokea njia ya Sam Nujoma,Ubungo kwenda Mwenge.
Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.
Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.
Pili baada ya dk 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.
Geti la pili kule kuelekea Survey ndo foleni tena ya kufa mtu.
Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani.
Kwa akili ya kawaida najiuliza hiviwaandaaji wanatumia akili kweli?
Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?
Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja
Sijui tunafikiri kutumia nini?
kinachonikeraga ni watu wote kuonekana waovu mbele ya viongozi wetu inanikeraga sana hii..yaani akishaingia kiongzi ndani basi nyie wa njee kazi mnayo..je kama unamgonjwa inakuaje hapo??Unalalamika nini wakati unajua kabisa hii nchi ni UTOPOLO.
You need to either help changing the system or get used to it.
hilo swala unalijua ww ndgu ...ukija eneo la tukio ndo utajua hapohapo kakaBasi hata uongozi wa mkoa ungetangaza kuwa leo majira ya saa flani barabara flani na mitaa flani kutakuwa na event flani.
chukulia kama unamgonjwa kwenye gari??ungefanyaje hapo??na matraffic wanakuwaga pale kwenye kile kibanda muda woteHao waliopanga foleni geti la survey nadhani wangekuwa ni mfano wa kuiga kwa upande wako, ungepanga tu foleni hadi uingie, otherwise si kila siku waziri mkuu anakuja hapo.
Kuna hospital mlimani city mule? Au foleni ni hadi kutoka? Eitherway, si kila siku Waziri mkuu anakuja hapochukulia kama unamgonjwa kwenye gari??ungefanyaje hapo??na matraffic wanakuwaga pale kwenye kile kibanda muda wote
Safi sana mkuu.Hata kulalamika ni sehemu ya kupashana habari na kukataa mabaya katika kubadilika.
Kuna watu wanakubali linalolalamikiwa kuwa ni jambo la kawaida.
Safari ndefu huanza na hatua moja.
Ili kutatua tatizo, jambo la kwanza ni kukubali hili ni tatizo.
Kuna watu bado hawajaelewa nankukubali kwamba hilo linalolalamikiwa ni tatizo. Wanaona ni kawaida tu.
Si wamehamia dodoma hao,sasa wanafwata nini hapa dar na kutuletea kero?Sasa hivi ninavyo andika nimetokea njia ya Sam Nujoma,Ubungo kwenda Mwenge.
Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.
Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.
Pili baada ya dk 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.
Geti la pili kule kuelekea Survey ndo foleni tena ya kufa mtu.
Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani.
Kwa akili ya kawaida najiuliza hiviwaandaaji wanatumia akili kweli?
Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?
Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja
Sijui tunafikiri kutumia nini?
Hilo nalo neno mkuu!Si wamehamia dodoma hao,sasa wanafwata nini hapa dar na kutuletea kero?
Unawasha hazard unatembea.....chukulia kama unamgonjwa kwenye gari??ungefanyaje hapo??na matraffic wanakuwaga pale kwenye kile kibanda muda wote
Ni kweli lakini tukumbuke inconvenience kwa shughuli za kawaida lakini muhimu sana kwa binadamu wengine.NMB Bima Marathon! Kipindi cha uchaguzi hiki mkuu. Kampeni popote![emoji16]
NILIWAAMBIA HUMU JAMVINI "MKOLONI MWEUSI NI HATARI SANA KULIKO MKOLONI MWEUPE".Sasa hivi ninavyoandika nimetokea njia ya Sam Nujoma, Ubungo kwenda Mwenge. Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.
Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza.
Pili baada ya dakika 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti limefungwa.
Geti la pili kule kuelekea Survey ndio foleni tena ya kufa mtu.
Nikauliza nikaambiwa Mh Waziri Mkuu yumo ndani kuna function ya sijui kitu gani. Kwa akili ya kawaida najiuliza hivi waandaaji wanatumia akili kweli?
Utafungaje access ya business premises kwa ajili ya matukio ambayo yanawaathiri watu wengi na wasiohusika?
Hapo Mlimani, benki zinakosa wateja,
- Maduka ya aina yote yanakosa wateja
- Maduka ya simu na mawasiliano yanakosa wateja
- Migahawa inakosa wateja
Sijui tunafikiri kutumia nini?
Usalama wa viongozi wetu kwanza kabla ya jambo lingine lolote.Sasa hivi ninavyoandika nimetokea njia ya Sam Nujoma, Ubungo kwenda Mwenge. Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki.