Mlimani City sasa hivi: Kero hii haikubaliki!!

Waziri mkuu wa nchi gani? Tz hatuna wabunge kwahiyo hata huyo waziri mkuu ni nadharia tu
 
watu hawatumii akili kufikiri bali wakishakariri jambo ndio wanalipeleka hivyohivyo

hakika tunatia huruma.
 
Solution ya hapo mlimani city ni very simple.

1. Get la survey litumike kuingia tuu na iwe ni kukata kushoto tuu.. mtu anaye tokea ardhi anatakiwa aje azunguke round about.

2. Get la sam nujoma litumke kutoka na mtu anaye kwenda ubungo arudi round about.

3. Njia ya kakobe.. iwe ni one way .. mtu anaye taka kwenda bodi ya mikopo au sinza basi atumie round about ya chini karibu na mwenge.



All in all kumaliza traffic ya pale chuo watengeneze tunnel (underpass)
kwa round about zote mbili chuo na ile ya karibu na mwenge .

[emoji1][emoji1][emoji111]
 
Tena utopolo daraja la kwanza, Nina ndugu yangu yupo Tanga ni mtumishi wa serikali nimewasiliana naye muda si mrefu anasema wapo uwanja wa ndege wanamsubiri Majaliwa tangu saa tatu asubuhi.
Siumwambie kuwa PM bado yuko Dar, akajongee kwenye mgahawa akapate kifungua kinywa😀. Hakika, we are building the nation in different ways.
 
Tena utopolo daraja la kwanza, Nina ndugu yangu yupo Tanga ni mtumishi wa serikali nimewasiliana naye muda si mrefu anasema wapo uwanja wa ndege wanamsubiri Majaliwa tangu saa tatu asubuhi.
[emoji16][emoji16]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
We must change, viongozi wetu wabadilike.
DSM ina watu zaidi ya milioni tano, tutambue vibrancy ya Jiji.
mmhh viongozi wenywe sisi ambao hatuna hata cheti cha degree na nafanya kazi kwelikweli ,.....panga likipita la watu feki mie naachwa...mtanitambua nyie wananchi
 
uwe mpole ni serikali ya wanyonge tupo uchumi wa kati usiwe na haraka
 
If kila mtu ana gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…