Mlimani Primary School

[emoji23][emoji23][emoji23] NAKWEDE kwani ni ajabu? Mimi nimemaliza early 2000s na kama ningekuwa nimezaa mapema basi isingekuwa ajabu kuwa na mtoto aliyemaliza la saba
Rudisha Avatar yako
 
Mlimani primary ni shule mojawapo za serikali mkoani dar es salaam kuweza kwa miaka mingi ku maintain standard education. Na kisima cha mafanikio kwa wengi waliosoma hapo.
NIMEPITA WAMEIBADILISHA SANA NAHISI HATA BEI ZAKE MWENDO WA PRIV NA KULE NYUMA WANA PLAN KUWEKA SEC SOON NA WANAOTOKA PALE PRIORITY KUZAMA SEC YAO INAPENDEZA SANA...,..
Nakweli watastahili kuwa na sekondari
 
Hapana, mimi naona inawezekana kabisa. Umemaliza 2000, let's say ungezaa 2005 mtoto wako sasa hivi angekuwa na miaka mingapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekani bwana
Kamaliza la Saba 98 kazaa mwaka 99,2000 au 2001.

Binti wa mwaka 99,2000 au 2001 hawezi kuwa na mtoto?
 
Kati ya hawa yupi unamkumbuka au unamfahamu, Samson Beshobeza,Saada Pongwa na Julieth Tukay?
 
Kingeleza?? Weee fala tu, kweli umesoma kayumba,
 
Hapana, mimi naona inawezekana kabisa. Umemaliza 2000, let's say ungezaa 2005 mtoto wako sasa hivi angekuwa na miaka mingapi?

kama mimi peke yangu tu nizae 2005 ingewezekana... ila haiwezekani mimi na rafiki yangu classmate wangu wote tuzae 2005...

maana kwa mimi 2005 nina miaka 18 ningeweza kuzaa...ila mimi na classmate wangu marafiki wote tuzae tukiwa 18. na watoto wote wamalize la saba pamoja..hapo ndio chai inapoingia..
 
actualy kiingereza cha kuzungumza ni muhimu kuliko cha mitihani.. Kingine muhimu ujue cha kuandika
Ukishaongea ukapewa ofisi,.halafu ukaandika porojo, nani atakayekuamini sasa?
 
Nipo hapa Yombo Dovya primary school Alumn, watoto wa kishua tulikutana nao chuoni
 
Hoya unaizungumzia shule ya Msingi mlimani apa chuo cha dar es salaam au mlimani ipi? Mkuuu
 
Haha inawezekana kabisa, halafu amesema classmate wake hajasema rafiki. Mfano sisi darasa letu wadada kama wanne walifanya mtihani wakiwa na ujauzito kwa hiyo inawezekana
 
Zamani darasani kulikua na manjemba mkuu kumbuka sisi miaka hii tuliingia shule kwa kupima mkono mkuu kama haushiki sikio hauendi hata kama umri umefika
 
Haha inawezekana kabisa, halafu amesema classmate wake hajasema rafiki. Mfano sisi darasa letu wadada kama wanne walifanya mtihani wakiwa na ujauzito kwa hiyo inawezekana

mkoani inawezekana.. ila sio dar es salaam tena sio buza hapo tunaongelea shule ya msingi mlimani
labda kama hujui shule ya msingi mlimani miaka ya 1980 hadi 2000 ilikuwa wanafunzi wa familia za class gani.

ukweli mtoa mada ameweka chai.. hata yeye analijua hilo.. vijijini au hata mikoani inawezekana sana maana wengi sio geti kali na hakuna usimamizi mzuri wa wazaz.. mnazaa mapema hata kubeba mimba..ila sio watoto wa mlimani primary classmates wote marafiki wazae watoto wakiwa 16yrs....
 
mkoani inawezekana.. ila sio dar es salaam tena sio buza hapo tunaongelea shule ya msingi mlimani
labda kama hujui shule ya msingi mlimani miaka ya 1980 hadi 2000 ilikuwa wanafunzi wa familia za class gani
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…