Mlimani Primary School

Ungeoa ukiwa na miaka kumi na nane, mtoto wako angekuwa langapi?
 
Wenye njaa bana huwa mna ukomo wa kuwaza mtu ana mihela kedekede unamuambia asipoteze hela yake ampeleke mwanae mlimani pr school
 
Inawezekana!
Kuna mwingine akimaliza la 7 tu mimba au anampa mtu mimba
Tufanye kamaliza na 18
Akifika 30 hapo mtoto ana 12
Watoto Siku hizi wanawahi shule
Hiyo ni tofauti na yule aliyemaliza la 7,kaenda sec 1-6 kapiga Chuo kamaliza kapata ajira ndio akazaa
 
Mkuu

Huyo alikuwa anajua kingeleza ndomana alifeli...

Naamini kama angekuwa anajua kingereza mbona angefaulu vizuri tu

Natumai nimeeleweka
 
Wewe ni kwamba ulisoma ila hukuelimika.

Mwalimu wa kwanza wa mtoto ni mzazi. Ukishajijua wewe ndo mwalimu wa kwanza basi mwanao mpeleke shule yoyote ile ya serikali ya elimu bure atakuwa ni kichwa tu.

Lakini upande wa pili ni jinsia yako. Je wewe ni mwanaume au mwanamke? Wanawake wengi wana mashauzi na wanapenda mashindano. Kwa hiyo akisikia mtoto wa fulani anasoma shule ya English medium ada Tshs. milioni sita kwa mwaka, basi na yeye anataka ajifarangue ampeleke mwanae kwenye angalau ada ya Tshs. milioni tatu kwa mwaka.

Ukiondoa hao washamba wawili wa hapo juu, kuna wazazi ambao kweli hawana jinsi isipokuwa kuwapeleka watoto shule za gharama. Hawa ni wale ambao aidha hawakusoma kwa hiyo ualimu hawauwezi, au wale ambao hawana muda kabisa wa kukaa na watoto wao.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…