Mlimani Primary School

Mlimani Primary School

hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
Ungeoa ukiwa na miaka kumi na nane, mtoto wako angekuwa langapi?
 
Wenye njaa bana huwa mna ukomo wa kuwaza mtu ana mihela kedekede unamuambia asipoteze hela yake ampeleke mwanae mlimani pr school
 
hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
Inawezekana!
Kuna mwingine akimaliza la 7 tu mimba au anampa mtu mimba
Tufanye kamaliza na 18
Akifika 30 hapo mtoto ana 12
Watoto Siku hizi wanawahi shule
Hiyo ni tofauti na yule aliyemaliza la 7,kaenda sec 1-6 kapiga Chuo kamaliza kapata ajira ndio akazaa
 
Kuna mdada alisoma shule za hela, mimi nimesoma shule ya serikali,
akiwa anaongea english mpaka nilikuwa najistkia muda mwingine.
Tulikuta kidato cha kwanza, akiwa anaongea kingeleza mpaka nikawa naogopa.
Mtihani umefika, ule wa kidato cha pili, masikini hata haonekani, amefeli vibaya sana.
Kumbe ni kingeleza cha kuongea tu, lakini mambo mengine namzidi mno
Mkuu

Huyo alikuwa anajua kingeleza ndomana alifeli...

Naamini kama angekuwa anajua kingereza mbona angefaulu vizuri tu

Natumai nimeeleweka
 
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Nimekutana na classmate wangu akiwa na mtoto wake ambae amemaliza darasa la Saba mlimani Primary school. Honestly.she is very Bright. Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Sioni tofauti yoyote kati ya watoto wa Mlimani Primary School Na watoto wa other English medium schools. Sana.sana watoto wa hizo.English.medium schools Wana confidence tu ya kuzungumza kwa kiingereza lakini Mambo mengine NI kawaida sana.

Mnaoishi jirani na Mlimani Primary School acheni kupoteza mamilioni kuwapeleka watoto wenu English Mediums wakati Mlimani Primary School.ipo.

Kumpeleka mtoto wako English medium.wakati unaishi uswahili NI upuuzi tu.kwa sababu toto.lako.likitoka shule linakuja.kucheza na watoto.wenzake wa uswahilini ambao wanasoma.st kayumba.

Mzazi mpeleke mtoto wako.shule ya ya Msingi ya kawaida, msimamie vizuri, matuition kwa kwenda mbele halafu hayo.mamilioni ya kulipa.ada shule ya Msingi mtunzie utakuja.kuyatumia kulipa.shule nzuri ya secondary na nyingine zitamsaidia kwenye maisha yake ya baadae.
Wewe ni kwamba ulisoma ila hukuelimika.

Mwalimu wa kwanza wa mtoto ni mzazi. Ukishajijua wewe ndo mwalimu wa kwanza basi mwanao mpeleke shule yoyote ile ya serikali ya elimu bure atakuwa ni kichwa tu.

Lakini upande wa pili ni jinsia yako. Je wewe ni mwanaume au mwanamke? Wanawake wengi wana mashauzi na wanapenda mashindano. Kwa hiyo akisikia mtoto wa fulani anasoma shule ya English medium ada Tshs. milioni sita kwa mwaka, basi na yeye anataka ajifarangue ampeleke mwanae kwenye angalau ada ya Tshs. milioni tatu kwa mwaka.

Ukiondoa hao washamba wawili wa hapo juu, kuna wazazi ambao kweli hawana jinsi isipokuwa kuwapeleka watoto shule za gharama. Hawa ni wale ambao aidha hawakusoma kwa hiyo ualimu hawauwezi, au wale ambao hawana muda kabisa wa kukaa na watoto wao.
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom