Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hapo Hydom Mkuu?Mbona sikutani nazo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Hydom Mkuu?Mbona sikutani nazo mzee
Ada! Hiyo lile tangazo lao linanikera walahHaichukui nafasi daktari..
Alafu ukitaka kuskip halitoki hadi liisheAda! Hiyo lile tangazo lao linanikera walah
Mbunge anasinzia tu bungeni! Unaenda safari hadi ufike utumbo wote unahisi upo kifuani...Sana man. Saaaana. Mwendo wa vigodoro tu.
Sijui kama watafikishiwa rami. Ifakara to Ruaha sahivi mkeka mmoja amazing sana aisee
Nimeenda Qwam, sikuwaona kabisaHapo Hydom Mkuu?
Jamaa ana ndinga moja ya kimarekani kali sana.Niliuliza anakaa wapi huyu mbunge wakasema town Ifakara.
View attachment 3110428
Huwezi kupeleka VXR ile barabara aisee.
Unatumia data za wapi,Pamoja na hiyo mikoa kuwa na maliasili nyingi takwimu za NBS zinaonesha ndio mikoa masikini zaidi Tanzania hasa Kagera,Geita,Simiyu na Shinyangaa.Ukubwa ni ishu
Unaona kanda ya ziwa wanavyopiga hatua?, ni kwasababu ya vimikoa vyao vidogo
Wazo zuri sanaFursa hiyo peleka ndinga uvune mahela.....
Hayo maeneo ya Mashimoni yanapatikana pande zipi? Au ni kule Silent Inn! Au ni kule nyuma ya Msikiti?Maeneo ya posta kidg kuna usalama pia lakini kwa sasa maeneo yaliochangamka ni mashimoni kwani kuna bar nying nzuri na za kisasa na hata ukicheki califonia nayo ipi line ya mashimoni
Hii hii dar yenyewe kuna sehemu ukiambiwa ipo Dar utakataa.Tanzania nzima jau, ukiachilia Dar sidhani kama kuna mkoa mitaa yake inafikika kirahisi na muda wowote kama Dar