Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kweli kaonyesha njia ya kupita..................................
Very good..mlimbwende.....sepetu naye ajitokeze kudonate.
Kweli kaonyesha njia ya kupita.......
.kidini hairuhusiwi kuchangia damu....
.
Pole na dini yako,ila hata ingekuruhusu kuna damu si za kuwekewa,chukua tu mfano umepata tatizo kiafya halafu damu iliyopo ni ya baba Ridh,au unastahili kuwekewa portion ya ubongo na uliobaki ni wa baba naniliu...yeah! huyo huyo...ungekubali kuchanganya na wako? Samahani si Jukwaa la jokes lakini ujumbe umefika!
kidini hairuhusiwi kuchangia damu.....
dini ghani hiyo? kama ni mashahidi wa yehova ni waongo watupu.Nlimuuliza mojawapo iwapo mkwewe anajifungua na ikahitajika damu atamwacha afe???? mbona akaguna na kujibu Mungu atamponya tu.Huo ni usanii mtupu wajamini Mungu huyu huyu ndo kawapa madaktari utaalamu huo na isitoshe biblia haisemi mtu asichangiwe damu. na isitoshe hawa jamaa wanaojiita mashahidi wa jehova jina halisi la Mungu NIPO AMBAE NILIKUEPO(I AM THAT I AM) hakusema jina zaidi ya hilo kwa Musa. jehova au YEHOVA limetokana na kuzitengeza herufi Y H WH amablo lilifanywa na katibu wa papa zamani sana.......kwa hivo ndugu yangu tusidanganye wajamini tutoe damu kuokoa maisha.kidini hairuhusiwi kuchangia damu.....
Mrembo wa Ilala 2010 ambaye pia ni Balozi wa gazeti hili, Bahati Chando (kushoto) akichukuliwa damu kwa ajili ya kuchangia kwenye benki ya damu na Mtaalamu wa Maabara kutoka Benki ya Damu ya Kituo cha Msimbazi, Elizabeth Mgaya, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni Mpango wa Uchangiaji wa damu ulioandaliwa na Klabu za Rotary za Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama. (Picha na Fadhili Akida).

Sijui kama nimeota kengeza, lakini mbona anayemtoa damu karibu anamzidi uzuri?
Mkuu kwani hana matitizo gani ya kiafya?kabla ya kupewa damu yake ni lazima ipimwe kwanza!!Damu ya sepetu utakubali kutundikiwa? bora nife na matatizo yangu ya kukaukiwa damu kuliko kuichanganya damu yangu na ya watu wa aina ya sepetu
mix with yours