Mlimbwende huyu ni mfano wa kuigwa................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
01_11_1fnufs.jpg

Mrembo wa Ilala 2010 ambaye pia ni Balozi wa gazeti hili, Bahati Chando (kushoto) akichukuliwa damu kwa ajili ya kuchangia kwenye benki ya damu na Mtaalamu wa Maabara kutoka Benki ya Damu ya Kituo cha Msimbazi, Elizabeth Mgaya, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni Mpango wa Uchangiaji wa damu ulioandaliwa na Klabu za Rotary za Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama. (Picha na Fadhili Akida).
 
Kweli kaonyesha njia ya kupita..................................
 
sawa ni vyema lakini kama anafanya mambo kwa kujitolea asiwe anasubiri hadi rotary clubs wafanye organisation kama hizo mbona wengine hujiendea tu pale blood bank na kutoa kila mara wakati unapojiri na hatuhitaji publicity siipendi hii kwa kuwa inapublicity inabidi basi muandae records kwa highest blood donnor kwa hapa nchini maana wengine tutatisha kwenye record hii nyie kama gazeti fanyieni kazi shwala hili kama social responsibility
 
Kafanya jambo jema na natumai wengine watafuata mfano wake
 
Very good..mlimbwende.....sepetu naye ajitokeze kudonate.
 
Damu ya sepetu utakubali kutundikiwa? bora nife na matatizo yangu ya kukaukiwa damu kuliko kuichanganya damu yangu na ya watu wa aina ya sepetu
mix with yours
 
Kweli kaonyesha njia ya kupita.......

quote_icon.png
Originally Posted by Tores
Very good..mlimbwende.....sepetu naye ajitokeze kudonate.
Damu ya sepetu utakubali kutundikiwa? bora nife na matatizo yangu ya kukaukiwa damu kuliko kuichanganya damu yangu na ya watu wa aina ya sepetu

So funny...asanteni wakuu kwa kupiga starter mbavu zangu
 
kidini hairuhusiwi kuchangia damu.....
 
kidini hairuhusiwi kuchangia damu....
.

Pole na dini yako,ila hata ingekuruhusu kuna damu si za kuwekewa,chukua tu mfano umepata tatizo kiafya halafu damu iliyopo ni ya baba Ridh,au unastahili kuwekewa portion ya ubongo na uliobaki ni wa baba naniliu...yeah! huyo huyo...ungekubali kuchanganya na wako? Samahani si Jukwaa la jokes lakini ujumbe umefika!
 
mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbavu zangu weeeeeeeee.
 
Suala la kifo halina udini wewe, acha ushamba...DINI ZOTE ZINATETEA UHAI. "NI BORA KUFA? AU KUWEKEWA DAMU?" Hata Pope ameruhusu kutumia kondomu kwa masuala muhimu tu ya kuzuia kifo!!!!

kidini hairuhusiwi kuchangia damu.....
 
kidini hairuhusiwi kuchangia damu.....
dini ghani hiyo? kama ni mashahidi wa yehova ni waongo watupu.Nlimuuliza mojawapo iwapo mkwewe anajifungua na ikahitajika damu atamwacha afe???? mbona akaguna na kujibu Mungu atamponya tu.Huo ni usanii mtupu wajamini Mungu huyu huyu ndo kawapa madaktari utaalamu huo na isitoshe biblia haisemi mtu asichangiwe damu. na isitoshe hawa jamaa wanaojiita mashahidi wa jehova jina halisi la Mungu NIPO AMBAE NILIKUEPO(I AM THAT I AM) hakusema jina zaidi ya hilo kwa Musa. jehova au YEHOVA limetokana na kuzitengeza herufi Y H WH amablo lilifanywa na katibu wa papa zamani sana.......kwa hivo ndugu yangu tusidanganye wajamini tutoe damu kuokoa maisha.
 
ok kidini hairuhusiwi,ila kibinadamu RUKSA mkuu,mama kaishiwa damu na dawa ni damu siwezi sibili hilo la dini mkuu,damu uzima kwanza then nitatubu kwa hilo la dini

mapinduziiii daimaaaa:ban:
 
01_11_1fnufs.jpg

Mrembo wa Ilala 2010 ambaye pia ni Balozi wa gazeti hili, Bahati Chando (kushoto) akichukuliwa damu kwa ajili ya kuchangia kwenye benki ya damu na Mtaalamu wa Maabara kutoka Benki ya Damu ya Kituo cha Msimbazi, Elizabeth Mgaya, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni Mpango wa Uchangiaji wa damu ulioandaliwa na Klabu za Rotary za Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama. (Picha na Fadhili Akida).

Gazeti??? ....................of coz u dont mean JF!
 
kidini hairuhusiwi kuchangia damu.....

yap+correct, dini yako naijua sana. Ni ile inayosisitiza kumwaga damu ili uende peponi kwa hiyo kwao kuongeza damu ni kinyume cha mafundisho.
 
01_11_1fnufs.jpg

Mrembo wa Ilala 2010 ambaye pia ni Balozi wa gazeti hili, Bahati Chando (kushoto) akichukuliwa damu kwa ajili ya kuchangia kwenye benki ya damu na Mtaalamu wa Maabara kutoka Benki ya Damu ya Kituo cha Msimbazi, Elizabeth Mgaya, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni Mpango wa Uchangiaji wa damu ulioandaliwa na Klabu za Rotary za Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama. (Picha na Fadhili Akida).

Sijui kama nimeota kengeza, lakini mbona anayemtoa damu karibu anamzidi uzuri?
 
Hapo itifaki inanimeza...kwa utamaduni wa kabila langu si heshima kumtizama mama mkwe kifuani!
 
Damu ya sepetu utakubali kutundikiwa? bora nife na matatizo yangu ya kukaukiwa damu kuliko kuichanganya damu yangu na ya watu wa aina ya sepetu
mix with yours
Mkuu kwani hana matitizo gani ya kiafya?kabla ya kupewa damu yake ni lazima ipimwe kwanza!!
 
Back
Top Bottom