Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Mlinzi wa Moi alikuwa commando.
Yule mtu aliyekuwa anaongoza ulinzi wa hayati Moi alikuwa ni Commando aliyepata mafunzo Israel.
Anaeleza alivyopata mafunzo halafu akarudi Kenya kufanya kazi ya kumchunga Rais.
Yule anasema alikuwa anafanya kazi ya "kumchunga" Rais.
Ndiyo swali ambalo najiuliza; walinzi wa Mama Samia ,au wasaidizi wake,nao pia wanafanya kazi ya "kumchunga" Mama Samia?
Yaani,swali langu ni mlinzi anamchunga kiongozi au anamlinda?
Never mind what the Kenyan said or why he spoke that way
Ni Jambo gani linatokea in practice. Mheshimiwa Samia anachungwa au analindwa?