Mlinzi wa Hayati Rais Moi alikuwa Commando. Je, Tanzania mlinzi anamchunga au anamlinda Rais?

Tatizo tunaona tuna akili kuliko TISS wenyewe. Unafikiri kwanini huyo DG kapelekwa Namibia na si kwingine?
 
Hata hayati Magufuli alikuwa anawaita "wale wanaonichunga" akiwa na maana kwamba wanamchunga hivyo hawa jamaa wanamchunga na kumlinda rais.
Na unaweza ukawa unawachunga ng'ombe huku unawalinda "wasibugie" mazao ya "bhenyewe" mu- shamba "zao"!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao watu huwa wanaperekwa kwa shughuli maalum huko nje na co vinginevyo[emoji112]
 
Tatizo tunaona tuna akili kuliko TISS wenyewe. Unafikiri kwanini huyo DG kapelekwa Namibia na si kwingine?
DG amepelekwa Namibia? Are you saying DG wa TISS amepata kazi mpya?
 
Kama ndivyo mbona RO alibaki ndani hakwenda nje? hats KAM alibaki hapa ndani hakwenda kuwa balozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…