FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unaruhusiiwa kutukana mkuu haina mbayaaLau kama mtuhumiwa angekuwa muslim tungeona matusi kibao hapa, mara kobazi this kobazi that. ilhali sote tunajuwa ya kwamba kila imani haiungi mkono suala hilo. Je, tuwahukumu christians wote kuwa ndio tabia yenu kwa kosa la huyo mlinzi Bw. Benedict?.
Kwamba hakimu kambeba mtuhumiwa?Kosa la kulawiti hukumu ni moja tu,kifungo cha maisha, huyo hakimu kapindisha hukumu.
Mie kwanza naona tunaleta siasa kwenye mambo ambayo hayahitaji siasa.Shenzi zake huyo! Mbususu zote hizi mtaani yeye hazioni mpaka akamuharibu mtoto mdogo..naamuru hukumu hiyo irejewe upya aongezewe miaka mingine 20.
sio watoto tu.mimi hata wanafunzi sitaki mazoea naoMazoea na waoto hayafai
Ova
Anyongwe mpaka kufaShenzi zake huyo! Mbususu zote hizi mtaani yeye hazioni mpaka akamuharibu mtoto mdogo..naamuru hukumu hiyo irejewe upya aongezewe miaka mingine 20.
The Court is entitled to apply common sense hata kama vipimo vya DNA hakuna!!Je, kahukumiwa kwa ushahidi wa DNA au ni maneno ya kuambiwa tu?