Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

Lau kama mtuhumiwa angekuwa muslim tungeona matusi kibao hapa, mara kobazi this kobazi that. ilhali sote tunajuwa ya kwamba kila imani haiungi mkono suala hilo. Je, tuwahukumu christians wote kuwa ndio tabia yenu kwa kosa la huyo mlinzi Bw. Benedict?.
Unaruhusiiwa kutukana mkuu haina mbayaa
 
Kosa la kulawiti hukumu ni moja tu,kifungo cha maisha, huyo hakimu kapindisha hukumu.
Kwamba hakimu kambeba mtuhumiwa?

But mvua thelathini na maisha haya ya bongo ni kama maisha tu tofauti mmoja atategemea siku moja atatoka mwengine atakuwa hana matumaini.
 
Shenzi zake huyo! Mbususu zote hizi mtaani yeye hazioni mpaka akamuharibu mtoto mdogo..naamuru hukumu hiyo irejewe upya aongezewe miaka mingine 20.
Mie kwanza naona tunaleta siasa kwenye mambo ambayo hayahitaji siasa.
This is where i love the talibans. Huyo ni kuchinja tuu sio kesi mwaka mara sijuinjela 30 years.
Wewe huyo unachinja tuu
 
Huyu jamaa hajatenda kosa Hilo hakuna dna test .. hakuna picha eti ni mtt tu kasema kabakwa je kam ni chuki tu huyu kaonewa hakika afu haimake sense mtu abakie chooni ambopo kila mda watu wanaingia na kutoka haki haijatendeka
 
Back
Top Bottom