Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kuna mama hapo pembeni anamwangalia kwa pozi la kukumbuka mbali sanaa ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mama hapo pembeni anamwangalia kwa pozi la kukumbuka mbali sanaa ππππππ
Kwanini watu wengi waliopitia majeshi huwa wanakuwa hivi?Kuna mmoja pia alikua anaitwa Tito alikua kwenye team ya obote aliajiriwaga kama afisa kilimo wakati wa nyerere huko mkoani rukwa akaoa akazaa na watoto sema badae alikuja kupata matatizo ya akili. Aliishi sana namanyere.
Aliwahi kufungwa kwa kosa la kumtoa bibi mmoja jicho jirani yake. Kiuhalisia hakua sawa kisaikolojia.
Huko uganda aliacha mke na watoto walimtafuta sana mpka wakafanikiwa kumpata hivi sasa yuko uganda mwaka wa 5 huu.
Najiuliza hawa walinzi wa obote walipata na nn kiasi cha kushindwa kabisa kurudi uganda licha ya kuacha wake+watoto.