GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili.
2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu.
3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe anakutana na Mbeba Hirizi ( Ndumba ) wa Yanga SC leo na ambaye Nyota yake ndiyo inaibeba mno Yanga SC Mudathir Yahaya.
4. Wakati wa Kusalimiana Wachezaji wa Simba SC wahakikishe hawazungukwi na Wachezaji wa Yanga SC kwani Kindumba ( Uchawi ) hii ina maana Kubwa sana hasa kwa Sisi tuliowahi Kuchweza Mpira wa Ngazi za Kimashindano.
5. Simba SC ivalie Jezi Nyekundu na siyo Nyeupe ( namaanisha Rangi Nyekundu ) ndiyo itawale tafadhali.
6. Wale Walinzi wa Vyumbani leo walishwe Yamini na wapewe Kiapo kwamba wasiruhusu Watu wa Yanga SC hasa Matajri wao ambao wana Hele za Kumwaga ili Wawahonge na Waingie au Wawape Dawa au Ndumba waweke Vyumbani wakati Mechi inaendelea ili Wachezaji wakija Mapumziko iwadhuru kama ilivyofanyika katika Kipigo kile cha Goli 5 kwa 1.
7. Kabla ya Timu kwenda Uwanjani kwa ajili ya Mechi ule Utamaduni wa aliyekuwa Mzee wetu wa Utamaduni ( Ndumba ) Mzee Bamchawi wa Wachezaji kuhojiwa kama kuna Aliyehongwa na Kulishwa Yamini Maalum yenye Kiapo cha Kudhurika ufanyike.
Kila la Kheri na kama Watapona basi watabahatisha Sare / Suluhu ila Ushindi ni ama 1 kwa 0 au 2 kwa 1 Asanteni nyote.
ANGALIZO
Kama unajua HUMPENDI GENTAMYCINE na Mada ( Threads ) zake hapa JamiiForums HUZIPENDI tafadhali nakushauri KIUSTAARABU tu acha KUZIFUNGUA, KUZISOMA na hata KUZICHANGIA badala yake nenda Kawasome tu wale MEMBERS wako UNAOWAKUBALI zaidi hapa na Mimi niachie wale MEMBERS wangu WANAONIELEWA KUTWA na hawana USWAHILI, UPUUZI, USHAMBA na UPUMBAVU wa KUTUKUKA kama ulionao.
Ukikaidi hili ANGALIZO langu usije KUNILAUMU kwa MAJIBU YANGU UMIZA ambayo NITAKUPOROMOSHEA pale tu UTAKAPOSHOBOKA nami kwa KUWASHWAWASHWA Kwako nami kama MNYAMA JIKE anayetaka KUPANDWA ( KUINGILIWA ) na MNYAMA DUME a.k.a GENTAMYCINE.
Nimemaliza.