Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

Hangar wanapenda kupiga paso ya kwanza nje ya uwanja.
Wachezaji wa Simba wanatakiwa kuwa makini sana.
Kwa wale tunaoujua huu Mchawi mbaya sana katika Mpira ukiona Yanga SC wamefanya hivi jua Simba SC 100% anakufa.
 
Watanzania nadhani ndio jamii ya mwisho iliyobaki duniani bado wajinga wajinga
1.mara sijui dar yote itakumbwa na mafuriko [ watu wanaamini ]
2. Ndio sehemu manabii ni wengi mno sababu watu wanaamini
3. Kwenye mpira wao wanaamini ulozi tu
 
Simba Ina timu mbovu hata wakitimiza mashart gan kama ni wabovu ni wabovu TU.
 
Back
Top Bottom