GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Apr 20, 2024 Thread starter #21 bahatibahati said: Hangar wanapenda kupiga paso ya kwanza nje ya uwanja. Wachezaji wa Simba wanatakiwa kuwa makini sana. Click to expand... Kwa wale tunaoujua huu Mchawi mbaya sana katika Mpira ukiona Yanga SC wamefanya hivi jua Simba SC 100% anakufa.
bahatibahati said: Hangar wanapenda kupiga paso ya kwanza nje ya uwanja. Wachezaji wa Simba wanatakiwa kuwa makini sana. Click to expand... Kwa wale tunaoujua huu Mchawi mbaya sana katika Mpira ukiona Yanga SC wamefanya hivi jua Simba SC 100% anakufa.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Apr 20, 2024 #22 Watanzania nadhani ndio jamii ya mwisho iliyobaki duniani bado wajinga wajinga 1.mara sijui dar yote itakumbwa na mafuriko [ watu wanaamini ] 2. Ndio sehemu manabii ni wengi mno sababu watu wanaamini 3. Kwenye mpira wao wanaamini ulozi tu
Watanzania nadhani ndio jamii ya mwisho iliyobaki duniani bado wajinga wajinga 1.mara sijui dar yote itakumbwa na mafuriko [ watu wanaamini ] 2. Ndio sehemu manabii ni wengi mno sababu watu wanaamini 3. Kwenye mpira wao wanaamini ulozi tu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 20, 2024 #23 Aleyn said: Dar leo tumeamka na jua kali, ukifua nguo baada ya masaa 2 au 3 inakauka vizuri tu. Click to expand... Subiri kipindi cha pili itashuka mvua moja kali sana na hapo ndipo mambo yatapoharibika...
Aleyn said: Dar leo tumeamka na jua kali, ukifua nguo baada ya masaa 2 au 3 inakauka vizuri tu. Click to expand... Subiri kipindi cha pili itashuka mvua moja kali sana na hapo ndipo mambo yatapoharibika...
P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Apr 20, 2024 #24 Simba Ina timu mbovu hata wakitimiza mashart gan kama ni wabovu ni wabovu TU.