Mlio jirani na Rais mshaurini; ni sawa kutoa zawadi lakini kutapanya pesa nyingi kiasi hiki hapana!

Mama yenu hakubaliki,anatoa hongo ili akubalike
 
Katika hili namtetea Rais. Ndondo Cup ilikuwa ni ahadi yake ya muda mrefu kusaidia. Mwache atimize alichokiahidi
 
Ni wewe au??!
 
Hiyo ni PR
 
Nilitembelea shule ya msingi Msewe hapo Ubungo nikaona wanafunzi wanakaa CHINI ya SAKAFU,,,halafu wanasiasa wanatapanya fedha za walipa kodi hovyo hali ya kuwa watoto wao wanakaa chini.
 
wachezaji hao ni jukumu Lao kulipanbania Taifa na sio ombi, si ndo kazi Yao bhana , na wanalipwa mshahara , asa inawaongezea hzo ili iweje ,
Acha roho mbaya tena ya kipumbavu, hiyo ni motisha mzee naona ni jambo la kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…