Mlio karibu na Clemence Mwandambo mwambieni awe makini Hawa watu Wana roho mbaya

Alex khalifa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
278
Reaction score
516
Nimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa wanamzoom TU ila napata mashaka sana watamdhuru, timu yangu ya ma CIA makachero wakujitegemea wamemuomba abadili life style kabla hajabadilishwa hao watu ni wanyama.

C.I.A PRIVATE KACHEROO
 
Kiukweli watapita nae, ni suala la muda tuu. Sema sasa hivi wamepoteana sana, na kesho CNN inatoa ripoti, wanahaha sio kidogo.
Mitandao inaweza kuzimwa kesho.
Huyu mama hakuna rangi ataacha kuona baada ya mauaji yale.
Atarusha taulo tuu.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka ,hao jamaa wamekula "VIMA" ,hawacheck na wowote ,watamtanguliza mapema mawinguni hasa katika kipindi hichi maSPIN Doctors wa "TEETH" wapo kazini.
 
Kiukweli watapita nae, ni suala la muda tuu. Sema sasa hivi wamepoteana sana, na kesho CNN inatoa ripoti, wanahaha sio kidogo.
Mitandao inaweza kuzimwa kesho.
Huyu mama hakuna rangi ataacha kuona baada ya mauaji yale.
Atarusha taulo tuu.
Sena anaetoa wazo la kuzima mtandao ni kilaza! Hawazuii kupata taarifa bali wanazichelewesha tu!
 
Sio kila mtu anakamatwa, umeona mashehe fake waliosema watakata waandamanaji vichwa, umesikia tamko au kukamatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…