Mlio karibu na Diamond mwambieni hajui kuvaa ajirekebishe

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
 
Kujua kuvaa unatakiwa uvaaje? na kutokujua kuvaa unatakiwa uwe umevaaje? na ni nani anayehukumu kua huu uvaaji ni mzuri na huu sio uvaaji mzuri?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Hivi kuna mtu yeyote mwenye picha ya Diamond kavaa gauni la Mama yake kipindi akiwa na miaka 12 pale Tandale? Jamaa alikuwa anazengua sana kipindi kile, yaani alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za Mama yake akitoka shule. Sijuwi ilikuwa ni mazoea au alimpenda sana Mama yake?
 
Ndugu umekunywa chai kwanza unamfatilia yule ndugu yako au jamaa yako kikumacho kitu gani ww fata maisha yako achana na habari zawatu mzee baba utafeli ata avae sketi ww tuliza marinda ayo fanya Biashara zako usenge tu kumfatilia maisha ya mwanaume mwenzako
 
Hivi kuna mtu yeyote mwenye picha ya Diamond kavaa gauni la Mama yake kipindi akiwa na miaka 12 pale Tandale? Jamaa alikuwa anazengua sana kipindi kile, yaani alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za Mama yake akitoka shule. Sijuwi ilikuwa ni mazoea au alimpenda sana Mama yake?
Kwa hiyo picha ikiwekwa hapa wewe ndio utafarijika kumuona mtoto wa miaka 12 kavaa gauni la mama yake na sasa hivi ana miaka 29 ana watoto wa 3 na wanawake kibao.

Kwanini watu hautupendi kudeal na matatizo yetu badala yake tunadhani maisha ya wengine ndio faraja yetu?
 
Dogo unajichanganya.....maisha ya ukwasi ya Diamond si faraja kwangu.....dogo alikuwa anatuchekesha tu mtaani kipindi kile kwa kupenda kuvaa nguo za kike. Na ndiyo maana mleta mada kasema Dogo hajuwi kuvaa, au hukuelewa kichwa cha habari?
 
Hivi kuna mtu yeyote mwenye picha ya Diamond kavaa gauni la Mama yake kipindi akiwa na miaka 12 pale Tandale? Jamaa alikuwa anazengua sana kipindi kile, yaani alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za Mama yake akitoka shule. Sijuwi ilikuwa ni mazoea au alimpenda sana Mama yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na yoote kumeibuka wimbi la udokozi unaosababishwa na ukazaji wa vyuma hivyo ni zana yangu kuwa nae anahusika na kudorora kwa shoo zake ndio maana sasa hata kuvaa kunamuwea shida
 
Mtoa mada yuko vzr ni kwel jamaa anachemsha sana,ila kuna watu hata wavae nn watapendeza,mfano mr Blu,huyu hata avae Gunia ,hata awe uchi atapendeza,,dai hana mwili wa kupendeza..kibongo bongo tunasema heng'a,heng'a za bongo ni blu,makini joh,jay mo,sheta jux kidogo,kiba na belle tisa
 
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
[emoji23][emoji3][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2019-05-05-10-00-34.jpeg
 
Back
Top Bottom