Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..
Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.
Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.
Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.
Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.
tashwishwi