Mlio karibu na Diamond mwambieni hajui kuvaa ajirekebishe

Unataka diamond avae kama mtumishi wa kanisani??
 
Tunaomba kifungu cha katiba kinachoelezea namna ya kuvaa tanzania
 
Tupia picha yako tuone wewe umevaa nini na umenyoaje
 
Ulisha kuwa mwana bongo fleva weye?
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
 
Mtoa mada yuko vzr ni kwel jamaa anachemsha sana,ila kuna watu hata wavae nn watapendeza,mfano mr Blu,huyu hata avae Gunia ,hata awe uchi atapendeza,,dai hana mwili wa kupendeza..kibongo bongo tunasema heng'a,heng'a za bongo ni blu,makini joh,jay mo,sheta jux kidogo,kiba na belle tisa
"Mr Blu hata awe uchi atapendeza"
kauli tata hii hasa kama imetamkwa na MWANAUME.

lol.
 
Dogo unajichanganya.....maisha ya ukwasi ya Diamond si faraja kwangu.....dogo alikuwa anatuchekesha tu mtaani kipindi kile kwa kupenda kuvaa nguo za kike. Na ndiyo maana mleta mada kasema Dogo hajuwi kuvaa, au hukuelewa kichwa cha habari?
Kwa hiyo sasa hivi Dogo anavaa nguo za mama ake?
maana mtoa mada kasema hajui kuvaa na wewe unasema alikua anavaa nguo za mama ake wakati yupo mtoto huoni kama ni vitu viwili tofauti.
 
Mtoa mada yuko vzr ni kwel jamaa anachemsha sana,ila kuna watu hata wavae nn watapendeza,mfano mr Blu,huyu hata avae Gunia ,hata awe uchi atapendeza,,dai hana mwili wa kupendeza..kibongo bongo tunasema heng'a,heng'a za bongo ni blu,makini joh,jay mo,sheta jux kidogo,kiba na belle tisa
Duuuuu hao unaowaita heng'a Kuna Kuna ukakasi Shetta? Joh makini? Sio kweli
 
Hivi kuna mtu yeyote mwenye picha ya Diamond kavaa gauni la Mama yake kipindi akiwa na miaka 12 pale Tandale? Jamaa alikuwa anazengua sana kipindi kile, yaani alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za Mama yake akitoka shule. Sijuwi ilikuwa ni mazoea au alimpenda sana Mama yake?
We umezidi sasa mkuu, nakupa kadi y njano
 
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
Kwa wewe hapa bongo nani unaemkubali kwa uvaaji wake jinsi anavopiga pamba
 
Hao wanaoitwa ma die hard fans naona wanataarisha mapovu kwa ajil yako mkuu
 
Sawa nitamwambia
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
 
Ok ngoja nipeleke ombi lako kwa dai akikubali mtaenda dendeka kuthibitisha usukule wako ee
French kiss[emoji42]

Ili tu verify kama kweli mimi ni msukule.
 
Back
Top Bottom