Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..
Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.
Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.
Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.
Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.
tashwishwi
Hater shikamooKama mshauri wake wa mavazi ni kwini dalini unategemea nini hapo.
"Mr Blu hata awe uchi atapendeza"Mtoa mada yuko vzr ni kwel jamaa anachemsha sana,ila kuna watu hata wavae nn watapendeza,mfano mr Blu,huyu hata avae Gunia ,hata awe uchi atapendeza,,dai hana mwili wa kupendeza..kibongo bongo tunasema heng'a,heng'a za bongo ni blu,makini joh,jay mo,sheta jux kidogo,kiba na belle tisa
Kwa hiyo sasa hivi Dogo anavaa nguo za mama ake?Dogo unajichanganya.....maisha ya ukwasi ya Diamond si faraja kwangu.....dogo alikuwa anatuchekesha tu mtaani kipindi kile kwa kupenda kuvaa nguo za kike. Na ndiyo maana mleta mada kasema Dogo hajuwi kuvaa, au hukuelewa kichwa cha habari?
Duuuuu hao unaowaita heng'a Kuna Kuna ukakasi Shetta? Joh makini? Sio kweliMtoa mada yuko vzr ni kwel jamaa anachemsha sana,ila kuna watu hata wavae nn watapendeza,mfano mr Blu,huyu hata avae Gunia ,hata awe uchi atapendeza,,dai hana mwili wa kupendeza..kibongo bongo tunasema heng'a,heng'a za bongo ni blu,makini joh,jay mo,sheta jux kidogo,kiba na belle tisa
We umezidi sasa mkuu, nakupa kadi y njanoHivi kuna mtu yeyote mwenye picha ya Diamond kavaa gauni la Mama yake kipindi akiwa na miaka 12 pale Tandale? Jamaa alikuwa anazengua sana kipindi kile, yaani alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za Mama yake akitoka shule. Sijuwi ilikuwa ni mazoea au alimpenda sana Mama yake?
Kwa wewe hapa bongo nani unaemkubali kwa uvaaji wake jinsi anavopiga pambaNakwenda moja kwa moja kwenye mada..
Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.
Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.
Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.
Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.
tashwishwi
Hater shikamoo

Naomba kukuomba kituMsukule marahabaa
Naomba kukuomba kitu
French kiss[emoji42]Kitu gani?
French kiss[emoji42]
Ili tu verify kama kweli mimi ni msukule.
😂 😂 😂Kama mshauri wake wa mavazi ni kwini dalini unategemea nini hapo.