Mlio karibu na Diamond mwambieni hajui kuvaa ajirekebishe

Unataka diamond avae kama mtumishi wa kanisani??
 
Tunaomba kifungu cha katiba kinachoelezea namna ya kuvaa tanzania
 
Tupia picha yako tuone wewe umevaa nini na umenyoaje
 
Ulisha kuwa mwana bongo fleva weye?
 
"Mr Blu hata awe uchi atapendeza"
kauli tata hii hasa kama imetamkwa na MWANAUME.

lol.
 
Dogo unajichanganya.....maisha ya ukwasi ya Diamond si faraja kwangu.....dogo alikuwa anatuchekesha tu mtaani kipindi kile kwa kupenda kuvaa nguo za kike. Na ndiyo maana mleta mada kasema Dogo hajuwi kuvaa, au hukuelewa kichwa cha habari?
Kwa hiyo sasa hivi Dogo anavaa nguo za mama ake?
maana mtoa mada kasema hajui kuvaa na wewe unasema alikua anavaa nguo za mama ake wakati yupo mtoto huoni kama ni vitu viwili tofauti.
 
Duuuuu hao unaowaita heng'a Kuna Kuna ukakasi Shetta? Joh makini? Sio kweli
 
We umezidi sasa mkuu, nakupa kadi y njano
 
Kwa wewe hapa bongo nani unaemkubali kwa uvaaji wake jinsi anavopiga pamba
 
Hao wanaoitwa ma die hard fans naona wanataarisha mapovu kwa ajil yako mkuu
 
Sawa nitamwambia
 
Ok ngoja nipeleke ombi lako kwa dai akikubali mtaenda dendeka kuthibitisha usukule wako ee
French kiss[emoji42]

Ili tu verify kama kweli mimi ni msukule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…