Mlio karibu na Diamond mwambieni hajui kuvaa ajirekebishe

Mlio karibu na Diamond mwambieni hajui kuvaa ajirekebishe

Ukiataka kutatua shida zako.
Ebu jiangalie wewe mwenyewe kwanza,
Ujue wapi unakosea!!
 
Apo utakuta ata bando kapewa miya5
Ndugu umekunywa chai kwanza unamfatilia yule ndugu yako au jamaa yako kikumacho kitu gani ww fata maisha yako achana na habari zawatu mzee baba utafeli ata avae sketi ww tuliza marinda ayo fanya Biashara zako usenge tu kumfatilia maisha ya mwanaume mwenzako
 
Anavaa kama anaishi njombe kwenye baridi wakati yupo dar joto, anaiga watu wa ulaya kule full baridi joto la msimu tangu aachwe na zari kawa kama kichaa hajipendi yupo hovyohovyo tu kutwa na truck suit utafikiri fundi garage kifupi hapendezi kama zamani
 
Sasa hivi tunafuatilia issue ya Mdude Chadema, alivyokamatwa
 
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
Tunaomba ya kwako moja tu
Screenshot_20190505-173914.png
Screenshot_20190505-173548.png
 
Ok ngoja nipeleke ombi lako kwa dai akikubali mtaenda dendeka kuthibitisha usukule wako ee
Dai anahusikaje na mimi kukukiss wewe. Au ushakuwa shem wetu kimya kimya baada ya Natasha ?
 
Mtu kavaa suruali yake unasemaje hajui kuvaa? Wasiojua kuvaa ni wale jamaa wa Papua New Guinea, wanatembea wanafunika vichwa tu lakini mapumbu yako wazi.
 
Hivi kuna mtu yeyote mwenye picha ya Diamond kavaa gauni la Mama yake kipindi akiwa na miaka 12 pale Tandale? Jamaa alikuwa anazengua sana kipindi kile, yaani alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za Mama yake akitoka shule. Sijuwi ilikuwa ni mazoea au alimpenda sana Mama yake?
Sasa wewe uliekuwa unavaa nguo zako leo upo api? Au huoni umepitwa parefu sana na mtu ambaye hapo zamani za kale alikuwa hana hata nguo za kuvaa na kuishia kugongea za mama yake ili ajisitiri mpaka leo ambapo wengi wetu wamemfanya kama ndo role model wao katika mavazi? We baada ya kumcheka ulifanya nini cha zaidi? Jitahid usiwe mtu wa kumdharau mtu kulingana na historia yake ya nyuma, huenda ikakupa somo nawe ukaweza kuchomoka kimaisha...
 
Nakwenda moja kwa moja kwenye mada..

Huyu dogo anajua kuimba lakini shida ninayoiona kwake ipo kwenye kuvaa. Jamaa hajui kuvaa sijui ni nani anamvalisha.

Ukiachana na kuvaa, kuna vile vi rasta vyake sijui nani alimsahuri avitengeneze. Mathalan kwenye hii clip inayosambaa akicheza wimbo wake huu mpya ukiangalia alivyo vaa plus vile vi nywele kwa mbaaali kama muhamiaji haramu.

Nadhani kuna mahali amekengeuka ktk uvaaji maana kuna kipindi alikua anavaa vizuri tu. Kwa mfano ile nyimbo 'tampata wapi' akiwa kwenye ile keyboard na suti yake white kama sijakosea na nywele zake amezinyoa vizuri alipendeza sana kuliko hivi vi rasta vyake kichwani
.

Mshaurini basi uvaaji wake unapoteza mpaka mvuto wa video zake.

tashwishwi
Duuuuuh nimesoma hapa mpaka nkacheka asee... hv akili ya mtoa uzi ilikuwa inawaza nini? Kwahiyo masaa 24 unataka mtu awe anavaa suti tu ama? Ikiwa kila video atokee kavaa suti unadhani kutakuwa na mvuto wa kuendelea kukiangalia kila siku kitu kimoja? Na asilimia kubwa video zake za sasa za kuchezeka sana... sasa kuna ubaya gani kuvaa nguo zinazoendana na mazingira?
Afu hizo clip unazodai zinasambaa huoni km ni nyumbani hapo? Suti ya nini sasa ukiwa kwako? Au wewe unalalia suti, unaamkia suti na kushindia suti ukiwa kwako? Akili hizi daaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi ndio za vijana wa tanganyika ya viwanda mbuzi.
 
Weka picha zako tukuone unavyojua kuvaa ili Na yeye ajifunze kupitia wewe
 
Kwa hiyo sasa hivi Dogo anavaa nguo za mama ake?
maana mtoa mada kasema hajui kuvaa na wewe unasema alikua anavaa nguo za mama ake wakati yupo mtoto huoni kama ni vitu viwili tofauti.

Hujaona juzi Insta kabandika gauni alilokuwa anavaa dadake? Kingine, anasuka nywele, ametoboa pua na masikio pia huku akipaka lipstick.
 
Kweli sisi ndio waTz tukikosa ya kujadili bhana ...
Ivi katiba inasehemu imeelezea vazi la Taifa au muwasho.....
 
Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya.
Njoo basi. Mbona unakuwa mkatili hivo. Utafikiri naondoka nao
 
Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya.
Kwamba tunda lako ni sawa na parachichi ?
 
Back
Top Bottom