Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Inaonekana unamfuatilia sana idadi ya watoto mpka madem!Kwa hiyo picha ikiwekwa hapa wewe ndio utafarijika kumuona mtoto wa miaka 12 kavaa gauni la mama yake na sasa hivi ana miaka 29 ana watoto wa 3 na wanawake kibao.
Kwanini watu hautupendi kudeal na matatizo yetu badala yake tunadhani maisha ya wengine ndio faraja yetu?