[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]Aisee mkali wenu" ni anatumia nguvu nyingi sanah,hadi mishipa ya shingo na uso inasimama.
[emoji38][emoji38][emoji38]Yaani huyo Idriss ilitakiwa afunguliwe Uzi wake binafsi kabisa...
Hajui kuchekesha kabisa,hajui hata kutofautisha kati ya UCHESHI na UJINGA..!
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu pilipili hata u mc hawez.matako xn mgogo yule.
Umewasahau jamaa wa ITV mizegwe wapo wanne lakini wakali ni yule Mzee na kijana mmojaIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Alipokuwa timamu TV alikuwa afadhali hivi sasa uharo tupuAisee mkali wenu" ni anatumia nguvu nyingi sanah,hadi mishipa ya shingo na uso inasimama.
Roman Empire the Big Dog,The Guy.. My best wrestler of all the time....hilo jina mkuu unalitendea haki lakini?Umewasahau jamaa wa ITV mizegwe wapo wanne lakini wakali ni yule Mzee na kijana mmoja
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.
Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.
Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.
1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.
Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.
Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.
Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.
Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.
Afu we ndo unafaa kuwa kwenye hii faniOngeza na Magufuli hapo
Senga ndio kiboko yaoIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
Nimekuelewa sanaaaaaaIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
1 JotiIla wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.