Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

jamani hakuna kazi ngumu kama kumfanya mtu mwenyestress zake kucheka, katika sanaa zote ya uchekeshaji ndio ngumu, na ndio maana unaona haina wachekeshaji, yaani kiujumla wachekeshaji waliopo Tanzania wanahesabika
 
Ukitaka kujua mtu ana talanta hiyo,kwanza kabla ya kuchekesha ukimcheki tu usoni we mwenyewe unaanza kucheka.mf.majuto,mtanga,senga,makilegan,mpoki,kingwendu,pembe,mkwere,sumaku.
 
Watanzania unafiki ni sehemu ya maisha yetu. Nadhani ni sababu mojawapo kwa nini hatuendelei.

Pamoja na hilo kuna watu tusiojua kabisa kuhusu unafiki, we call a spade a spade, white colour white.

Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji sio hawaiwezi.

1. Idrissa.
2. Blackpussy.
3. Oka Martin.
4. Mkali wenu.
5. Dulvan.
6. Mc Pilipili.
7. Jaymond.
8. Katarina wa Karatu.
9. Ebitoke.

Hawa watu hawajui kabisa kuchekesha. Yani hawajui na hawajui kama hawajui. Wanatumia nguvu nyingi mno.

Hakuna kazi rahisi kama kuchekesha binadam. Kitu pekee ambacho binadam anaweza kukifanya na kwa haraka bila gharama yoyote ni kucheka.

Kazi zipo nyingi za kufanya, watafte kazi nyingine. Steve Nyerere tulimwambia mapema akasikia akatafta kazi nyingine ya kufanya.

Namba 5-9 ni updates toka kwa wadau.

Without the QUANTITY we can't talk about the QUALITY ebu waache waendelee kuwemo kuwemo
 
Kuna kademu kana act kama kafanya kazi ka ndani kanaitwa EVA aisee yule demu yupo siriaz kwenye igizo unaweza hisi kweli
 
Ungeweka na picha zao ingependeza zaidi wengine hatuwajui huyo black pussy ni wa kike?
 
Braza K nifuniko lao kwa sasa Bongo,basi tu hajui kujipromote.alikuwepo na mwingine mchombe wa kulichombe alipopotelea anajua mwenyewe.Kiufupi wachekeshaji wazuri hawajitambui ila wabahatishaji wanajua kujipromote
 
Ila wakali wa vichekesho bongo kuna joti,majuto,braza K,Senga,pembe,bambo,mtanga,Kingwendu.....mpoki kwa mbaaliii na wakuvanga.
1 Joti
2 Majuto
3 Mpoki
4 Mkwere
5 Masanja


Hao kwa upande wangu naamini wana vipaji vya uchekeshaji,hawatumii nguvu nyingi tofauti na hao wengine,mtu kama Joti ukimwona tuu lzm ucheke yaan
 
Back
Top Bottom