Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Labda kama anataka kumchungulia mh.
Cheki hiyo sijdah kuubwaa kama chapati kwenye paji lake jeusi.
kwann umesema Temeke?"Apite juu ya mgongo wake"???? atakuwa anaishi temeke huyu jamaa
Je unajua laana iliyompata Mzee wa bao la mikono baada ya kukanyaga viuno vya wamama?ama maneno yanakutoka tuu?