Unajulikana una ugonjwa wa akili, kapate matibabu harakaGaidi akila mvua mambo yatanyooka
Yule mchora katuni amekamatwa na wakina Nani?Angalau hatuogopi JF kufungwa
Wala hatuogopi Maxence Melo kukamatwa tena..
Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF..
Hali ya uchumi itarudi Tu with time
wacha tumfunge Mbowe kwanza, mambo yatakuwa swari...vumilia mtoto wa kiume acha kulia lia tupo kazini.Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofaut na tulivyozoea.
Nini shida?
Hali ya uchumi kwa wateja wa Ndani ni kweli haijaimarika kama tulivyotegemea. Ila kiukweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni wateja wa nje wameongezeka sana Toka nchi za Jirani, Congo, Malawi, Zambia na wengineo.Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofaut na tulivyozoea.
Nini shida?
Kila mwananchi kwa sasa analijua hilo , ila viongozi hawajui hili kwa vile wao wanajichotea tu mihela ya bure , Hali ni mbaya kuliko maelezoHali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofaut na tulivyozoea.
Nini shida?
We kweli mjinga, hii hali inanyorosha kotekoteKaeni hivo hivo dawa iwaingie maana mlishangilia kifo Cha jiwe kwa kusema mambo yatakuwa Safi mtaani, Kwa lugha nyepesi vyuma vitalegea.
Mwanamke ameumbwa kwajili ya kuwa msaidizi tu nasiyo Top.. That's nature.
Sasa wateja awatoe wapiHali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.