Mlio karibu na Rais Samia, mwambieni ukweli kuwa mtaani biashara haziendi

Mlio karibu na Rais Samia, mwambieni ukweli kuwa mtaani biashara haziendi

Wanasema ukuona biashara zinafungwa ndio ujue hakuna pesa, lakini biashara ipo daily basi jua mambo yanasonga.

Hivyo wafanyabiashara tambueni siku azilingani na muache kulia lia..
 
Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.

Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?

Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.

Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.

Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofaut na tulivyozoea.

Nini shida?
Hangaya na madelu wanasema wamemwaga pesa mtaani, pesa zenyewe ni zile za IMF ambazo wanagawana kiujanja ujanja watu wachache kupeana tenda na ulaji mwingine. Madelu kwa akili yake anafikiri ataingiza pesa mtaani kwa kuwapa watu wachache ulaji badala ya kupitia njia ya kupandisha mishahara, madaraja ya wafanyakazi na kulipa madai mbalimbali zikiwemo likizo, kulipa wazabuni na kuweka ruzuku kwenye pembejeo za kilimo na kuondoa ushuru kwenye mazao ya wakulima.....anaishia kuleta projo kwenye media.​
 
Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.

Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?

Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.

Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.

Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofauti na tulivyozoea.

Nini shida?
Pole kwa biashara zako zisizoenda poa, sisi tunauza vizuri tu mbona?

- Boresha huduma kwa wateja

- Tangaza biashara yako

- Weka mzigo wa kutosha

- Furahia biashara.
 
Kaeni hivo hivo dawa iwaingie maana mlishangilia kifo Cha jiwe kwa kusema mambo yatakuwa Safi mtaani, Kwa lugha nyepesi vyuma vitalegea.

Mwanamke ameumbwa kwajili ya kuwa msaidizi tu nasiyo Top.. That's nature.
Usitetee ujinga, chanzo cha yote haya ni jiwe. leo Mama anahangaika kurekebisha mifumo iliyovurugwa na jiwe ndio maana mambo hayaendi.Bora Mama mara 1000 kuliko Jiwe.
 
Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF.
Bado sana kushangilia chochote chini ya utawala wa ccm.
Kama wewe hujakamatwa kwa dhuluma, kuna wanaoteseka...tusubiri kwanza hatima ya kesi ya Mbowe.
 
Usitetee ujinga, chanzo cha yote haya ni jiwe. leo Mama anahangaika kurekebisha mifumo iliyovurugwa na jiwe ndio maana mambo hayaendi.Bora Mama mara 1000 kuliko Jiwe.
Acha umama kivuruge wewe.
 
Mvua zilizoanza kunyesha zinatuchanganya sanaaaa. Mbolea bei juuuuu mahindi bei chini. Sasa mnataka tuuze mahindi yote ndo tununue mbolea au? Sasa tutakula nini? Yani mama asipomwaga hela hapa kwenye mbolea I swear mwakani watakaokuwa na mahindi wataitwa maboss[emoji23][emoji23][emoji23]
Mahindi bei chini wapi, hapa dodoma junia 52,000/= , mahindi bei imeshoot sana na lazima junia lifike 70,000/=
 
Pole kwa biashara zako zisizoenda poa, sisi tunauza vizuri tu mbona?

- Boresha huduma kwa wateja

- Tangaza biashara yako

- Weka mzigo wa kutosha

- Furahia biashara.
Huyo dada poa, kwaiyo kwasasa kwenye biashara yao hamna wateja
 
Kaeni hivo hivo dawa iwaingie maana mlishangilia kifo Cha jiwe kwa kusema mambo yatakuwa Safi mtaani, Kwa lugha nyepesi vyuma vitalegea.

Mwanamke ameumbwa kwajili ya kuwa msaidizi tu nasiyo Top.. That's nature.
Si hata Sasa top yupo Msoga gang au uwezo wake ndo umefika kikomo?
 
Angalau hatuogopi JF kufungwa

Wala hatuogopi Maxence Melo kukamatwa tena.

Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF.

Hali ya uchumi itarudi Tu with time
Jaribu kutoa tusi kama mlivyokuwa mnamtukana magufuri uone kama hutatafutwa kisha ulete hapa hayo maadiko yako.
Na hatua zisipochukuliwa basi tutajua mama kaamua kukusanya kila kitu kwenye banda hata vya kuoza anaishi navyo bila taabu.
Na usifiche id yako huko whatsApp.
 
Why utoe tusi
Huwezi kosoa bila matusi?

Wapi uliona nimemtukana Magufuli?..
 
Back
Top Bottom