SanaaaHii system ambayo kigezo kikubwa cha kupata nafasi UVCCM,kuendelea nchi hii ni muujiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaaHii system ambayo kigezo kikubwa cha kupata nafasi UVCCM,kuendelea nchi hii ni muujiza
Bado waafrica ni watumwa wa wakoloniEti jamani, hasa nyie mlio kwenye system hebu tupeni mwanga kidogo; ni kwanini mikataba inayoingia serikali huwa inafanywa kiwa siri kiasi mwananchi wa kawaida hapaswi kabisa kujua.
Mathalani hii mikataba ya mikopo, ni kwanini msiiweke hadharani ili tujue masharti yake yakoje, why?
Kosa moja halihalalishi kosa la piliLin uliwahi kuwekewa wazi????Na vp huyo jamaa yako marehemu aliwahi fanya hlo????
Hebu msitupigie kelele SUKUMA GANG
Kosa moja halihalalishi kosa la pili
Wewe ndio ulikuwa huyaoniLeo mnaona makosa ambayo kabla mlikuwa hamuyaon