Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Bado masanduku ya kura hawajakimbia nayo?

Bado kura zilizopigwa tayari hazijatumbukizwa kwenye masanduku ya kura

Bado mawakala hawajafurushwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura?

Bado Majina ya wapiga kura wenu hayafutwa
 
Wavuruga uchaguzi hawajashiriki so obvious ni lazima amani itawale!
 
CCM LAZIMA ishinde ili kumpa Mwenyekiti wa Chama zawadi yake ya kwanza kama Mwenyekiti. Kwahiyo, lije jua, ije mvua LAZIMA tushinde majimbo yote mawili.
 
CCM LAZIMA ishinde ili kumpa Mwenyekiti wa Chama zawadi yake ya kwanza kama Mwenyekiti. Kwahiyo, like jua, ije mvua LAZIMA tushinde majimbo yote mawili.
Ati lazima!

Muhambwe lolote laweza kutokea
 
Nadhani CHADEMA hawakusimamisha wagombea. So, it is obvious NEC itawachagua wagombea wa chama gani. It is a no-brainer.
1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura.

2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote.
 
1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura.

2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote.
#2 ni sahihi. Otherwise haileti maana sana kukubaliana na ACT kuweka mgombea mmoja in a situation ambapo hakuna imani na NEC.

Ingekuwa bora zaidi CHADEMA kuwaconvince ACT nao pia wasusie hayo maigizo ili kupeleka ujumbe ulionyooka
 
CCM bila wizi wa kura haitoboi nchi hii
Ndiyo maana tunauliza the situation on the ground, hasa mawakala kama wanafanya kazi yao bila intimidations from police/TISS JWTZ?????? (hawa mara nyingi ni wasafi)
 
Back
Top Bottom