Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura.

2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote.
Hoja zako zinajikoroga
 
Kwahiyo 2024 na 2025 Chadema hawatashiriki uchaguzi au wanaangalia kama hakuna dalili ya kushinda kwenye Jimbo wanasusa?
1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura.

2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote.
 
Yenye laana chadema hayapo kwa hiyo uchaguzi unaenda vizuri tu
 
Back
Top Bottom