Chozizwa2020 JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 912 Reaction score 853 May 16, 2021 #21 johnthebaptist said: CCM ushindi ni mapema kama Kaizer Chiefs! Click to expand... Una utani na hao walioshidwa kwa K. Chiefs?
johnthebaptist said: CCM ushindi ni mapema kama Kaizer Chiefs! Click to expand... Una utani na hao walioshidwa kwa K. Chiefs?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 May 16, 2021 #22 Sky Eclat said: 1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura. 2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote. Click to expand... Hoja zako zinajikoroga
Sky Eclat said: 1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura. 2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote. Click to expand... Hoja zako zinajikoroga
W Wakudadavuwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 17,506 Reaction score 16,003 May 16, 2021 #23 Kwahiyo 2024 na 2025 Chadema hawatashiriki uchaguzi au wanaangalia kama hakuna dalili ya kushinda kwenye Jimbo wanasusa? Sky Eclat said: 1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura. 2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote. Click to expand...
Kwahiyo 2024 na 2025 Chadema hawatashiriki uchaguzi au wanaangalia kama hakuna dalili ya kushinda kwenye Jimbo wanasusa? Sky Eclat said: 1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura. 2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote. Click to expand...
Kijogoodi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,362 Reaction score 2,373 May 16, 2021 #24 Yenye laana chadema hayapo kwa hiyo uchaguzi unaenda vizuri tu
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 16, 2021 #25 Retired said: Kwa mbinu za 2020 na 2019 mtashinda lkn kwa haki bin haki hamtoboi katu Click to expand... haki mbinguni huko,huku ni pilika ndio uma survive[emoji23][emoji23][emoji23].
Retired said: Kwa mbinu za 2020 na 2019 mtashinda lkn kwa haki bin haki hamtoboi katu Click to expand... haki mbinguni huko,huku ni pilika ndio uma survive[emoji23][emoji23][emoji23].