mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Mimi mwehu ndama jitu la mtumba , ndio nilikua wakwanza kuzipinga mbinu za tapeli wa kifaransa"Roman Folz" na sikuishia hapo tu, nilienda mbali nakukosoa uchezeshwaji wa mchezaji Aziz andambwile, ambae binafsi licha ya magoli yake yakubahatisha nina amini ndie alikua tatizo kubwa la Yanga sc, sababu ni mzito na timu haifanyi build up vizuri tokea chini sababu jamaa ana uwezo mdogo wakumiliki mpira lakini marking awareness yake ni ndogo kiasi kwamba timu ilikuwa inaonekana uchi katikati ya uwanja..
Na safari hii nasema Tena akija Kocha mwenye akili hakuna namna Aziz andambwile anaweza PATA nafasi kwa timu inayotaka mafanikio kimataifa.. ovaa
Na safari hii nasema Tena akija Kocha mwenye akili hakuna namna Aziz andambwile anaweza PATA nafasi kwa timu inayotaka mafanikio kimataifa.. ovaa