Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iliwekwa hapa, ushoga una nguvu sana Ulaya na huu ulikua Kama mtego kwa Papa ili waanze kususia kanisa Katoliki. Tunazidi kumuomba Mungu katika mapito haya.nimesikia hii kitu, naomba andiko la ushahidi wa Pope kubariki same sex marriages
Si unakumbuka kuwa the first African Cardinal alikuwa Rugambwa from Bukoba. Alitafuta sehemu ambayo inaweza kuwa mahali pa kuhiji maana si wote wana uwezo wa Kwenda Lurdi, Italy. Basi wakapata sehemu iliyokuwa na mapangp peculiar, yenye nguzo za mawe kama vile yamechongwa na kutengeneza nguzo za nyumba. Chini yake ya pangp kulikuwa kunatiririka maji ya baridi sana. hayakujulikana yanatokea wapi, Watu waliamini kuwa sehemu ile ina "utakatifu" wa aina fulani. Hivyo viongozi wa kanisa , Rugambwa akaichaua na kumuomba Pope aibariki iwe mahali pa kuhiji... ilianza hivyo!Kuna tukio gani lilitokea hapa mpaka kupelekea kupata baraka za Papa kuwa sehemu ya hija?
Hivi kwanini una nguvu kihivyo? why?ushoga una nguvu sana Ulaya
naomba kama una maandishi nisome, maana sidhani kama pope anaweza kubariki. nadhani alisema hawa ni watu kama sisi, wasaidiwe na siyo kutengwa,,,.... something of that nature, sijui, I stand to be corrected!Papa amebariki lini na wapi ndoa ya jinsia moja? Au na wewe haujaelewa unafuata tu mkumbo?
Hayo maji yapo mpaka leo mkuu?Si unakumbuka kuwa the first African Cardinal alikuwa Rugambwa from Bukoba. Alitafuta sehemu ambayo inaweza kuwa mahali pa kuhiji maana si wote wana uwezo wa Kwenda Lurdi, Italy. Basi wakapata sehemu iliyokuwa na mapangp peculiar, yenye nguzo za mawe kama vile yamechongwa na kutengeneza nguzo za nyumba. Chini yake ya pangp kulikuwa kunatiririka maji ya baridi sana. hayakujulikana yanatokea wapi, Watu waliamini kuwa sehemu ile ina "utakatifu" wa aina fulani. Hivyo viongozi wa kanisa , Rugambwa akaichaua na kumuomba Pope aibariki iwe mahali pa kuhiji... ilianza hivyo!
Wako kila mahali kwenye system za serikali na wako well informed. Wana nguvu ya ku lobby mpaka matakwa yao yakubaliwe.Hivi kwanini una nguvu kihivyo? why?
Iliwekwa hapa, ushoga una nguvu sana Ulaya na huu ulikua Kama mtego kwa Papa ili waanze kususia kanisa Katoliki. Tunazidi kumuomba Mungu katika mapito haya.
Yes maji yapo mpaka Leo.Hayo maji yapo mpaka leo mkuu?
Ndiyo lugha ya wazungu hii, wanawaita Waarabu wanafiki, hawataki u shoga Arabuni wakati hata Wafalme wao wanakwenda holiday Bangkok.
“They’re children of God and have a right to a family,” the pope says in his interview with the filmmaker, Evgeny Afineevsky. “Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”
Hiv Bangkok ndo kuna ushoga Sana eti? Maana watu wanaisemaga sanaNdiyo lugha ya wazungu hii, wanawaita Waarabu wanafiki, hawataki u shoga Arabuni wakati hata Wafalme wao wanakwenda holiday Bangkok.
Kuna lady boysHiv Bangkok ndo kuna ushoga Sana eti? Maana watu wanaisemaga sana
AiseeKuna lady boys
Iliwekwa hapa, ushoga una nguvu sana Ulaya na huu ulikua Kama mtego kwa Papa ili waanze kususia kanisa Katoliki. Tunazidi kumuomba Mungu katika mapito haya.
nimecheka, nimekaa Bangkok 4 yrs. Kule usiombe , a free nation in sex bussinessNdiyo lugha ya wazungu hii, wanawaita Waarabu wanafiki, hawataki u shoga Arabuni wakati hata Wafalme wao wanakwenda holiday Bangkok.
So unashauri nini?Halafu mkitoka hapo mnaenda kunywa pombe hadi mjikojolee. RC bhana eti kunywa kidogo sasa kreti zima ndio kidogo?
Eti kunywa ila usitende dhambi sasa hao mabaamedi mnaowashikashika baada ya kulewa sio dhambi?
Wanafunga na kusali .Kuhiji ndio kufanya nini ,yani nini kinaendelea hapo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hiv pombe inatatizo gani kiroho?Halafu mkitoka hapo mnaenda kunywa pombe hadi mjikojolee. RC bhana eti kunywa kidogo sasa kreti zima ndio kidogo?
Eti kunywa ila usitende dhambi sasa hao mabaamedi mnaowashikashika baada ya kulewa sio dhambi?
Kunaitwa A Disney Land for Adults.“They’re children of God and have a right to a family,” the pope says in his interview with the filmmaker, Evgeny Afineevsky. “Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”
nimecheka, nimekaa Bangkok 4 yrs. Kule usiombe , a free nation in sex bussiness
Instambul nadhani unatokea sehemu hiyo!Yes maji yapo mpaka Leo.
Kunakuwa na misululu mirefu siku hii ya hija ya watu wa kuchota hayo majiView attachment 1612764