instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mbona sijawahi ona hii kitu?Sa
Hiyo sehemu ilibarikiwa na papa huyu huyu aliyebariki ndoa jinsia moja au kuna mwingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sijawahi ona hii kitu?Sa
Hiyo sehemu ilibarikiwa na papa huyu huyu aliyebariki ndoa jinsia moja au kuna mwingine?
yes, watu wanakuja sana kuyachukua, sana tena sana! kama alivyosema instambulHayo maji yapo mpaka leo mkuu?
Hapana mkuu.Instambul nadhani unatokea sehemu hiyo!
Ok, vema. JF founder anatokea hapo hapo!Hapana mkuu.
Mimi sio mzaliwa wa huko but nimeenda kuhiji Sana nikiwa msemiari wa Rubya na rutabo Kwa miaka 9 kabla ya kuhama huo mkoa.
Nimeishi Sana Bukoba mjini.
Kumbe . Sikufahamu hiloOk, vema. JF founder anatokea hapo hapo!
Lakin hata wew Kwa muda wako unaweza kwenda kuchota Yale maji Kwa Imani muda wowote ukienda bk.Hayo maji yapo mpaka leo mkuu?
nimesikia hii kitu, naomba andiko la ushahidi wa Pope kubariki same sex marriages
Huu ni upumbavu kama upumbavu w mafuta ya MwamposaYes maji yapo mpaka Leo.
Kunakuwa na misululu mirefu siku hii ya hija ya watu wa kuchota hayo majiView attachment 1612764
Hiv ukishikilia unachokiamini na kuwaacha wengi waamini ya kwao bila kukejeli Imani zao utapungukiwa nini?Huu ni upumbavu kama upumbavu w mafuta ya Mwamposa
Na tule tupicha twa ndani ya mji maeneo mbalimbali kutoka hapo Bkb usiache kutupostia kaka
Chadema ndio huwa wanaenda huko CCM huwa tunaenda VaticanAsante sana sikufahamu hii historia hii. Ninakwenda Lourdes Na Fatima pia.
Kuna Pilgrim Cruise inapita kote huko. Kila sehemu mnapewa siku mbili za kufanya ibada.Chadema ndio huwa wanaenda huko CCM huwa tunaenda Vatican
UsinifokeeeHiv ukishikilia unachokiamini na kuwaacha wengi waamini ya kwao bila kukejeli Imani zao utapungukiwa nini?
Kama kitu hukiamini achana nacho