Mlio Nyakijoga- Mugana, Bwanjai wilaya ya Misenyi kuhiji tunaomba kinachojiri

nimesikia hii kitu, naomba andiko la ushahidi wa Pope kubariki same sex marriages
Iliwekwa hapa, ushoga una nguvu sana Ulaya na huu ulikua Kama mtego kwa Papa ili waanze kususia kanisa Katoliki. Tunazidi kumuomba Mungu katika mapito haya.
 
Kuna tukio gani lilitokea hapa mpaka kupelekea kupata baraka za Papa kuwa sehemu ya hija?
Si unakumbuka kuwa the first African Cardinal alikuwa Rugambwa from Bukoba. Alitafuta sehemu ambayo inaweza kuwa mahali pa kuhiji maana si wote wana uwezo wa Kwenda Lurdi, Italy. Basi wakapata sehemu iliyokuwa na mapangp peculiar, yenye nguzo za mawe kama vile yamechongwa na kutengeneza nguzo za nyumba. Chini yake ya pangp kulikuwa kunatiririka maji ya baridi sana. hayakujulikana yanatokea wapi, Watu waliamini kuwa sehemu ile ina "utakatifu" wa aina fulani. Hivyo viongozi wa kanisa , Rugambwa akaichaua na kumuomba Pope aibariki iwe mahali pa kuhiji... ilianza hivyo!
 
Papa amebariki lini na wapi ndoa ya jinsia moja? Au na wewe haujaelewa unafuata tu mkumbo?
naomba kama una maandishi nisome, maana sidhani kama pope anaweza kubariki. nadhani alisema hawa ni watu kama sisi, wasaidiwe na siyo kutengwa,,,.... something of that nature, sijui, I stand to be corrected!
 
Hayo maji yapo mpaka leo mkuu?
 
Iliwekwa hapa, ushoga una nguvu sana Ulaya na huu ulikua Kama mtego kwa Papa ili waanze kususia kanisa Katoliki. Tunazidi kumuomba Mungu katika mapito haya.

“They’re children of God and have a right to a family,” the pope says in his interview with the filmmaker, Evgeny Afineevsky. “Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”
 
Ndiyo lugha ya wazungu hii, wanawaita Waarabu wanafiki, hawataki u shoga Arabuni wakati hata Wafalme wao wanakwenda holiday Bangkok.
 
Ndiyo lugha ya wazungu hii, wanawaita Waarabu wanafiki, hawataki u shoga Arabuni wakati hata Wafalme wao wanakwenda holiday Bangkok.
Hiv Bangkok ndo kuna ushoga Sana eti? Maana watu wanaisemaga sana
 
Iliwekwa hapa, ushoga una nguvu sana Ulaya na huu ulikua Kama mtego kwa Papa ili waanze kususia kanisa Katoliki. Tunazidi kumuomba Mungu katika mapito haya.

“They’re children of God and have a right to a family,” the pope says in his interview with the filmmaker, Evgeny Afineevsky. “Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”
Ndiyo lugha ya wazungu hii, wanawaita Waarabu wanafiki, hawataki u shoga Arabuni wakati hata Wafalme wao wanakwenda holiday Bangkok.
nimecheka, nimekaa Bangkok 4 yrs. Kule usiombe , a free nation in sex bussiness
 
Halafu mkitoka hapo mnaenda kunywa pombe hadi mjikojolee. RC bhana eti kunywa kidogo sasa kreti zima ndio kidogo?

Eti kunywa ila usitende dhambi sasa hao mabaamedi mnaowashikashika baada ya kulewa sio dhambi?
So unashauri nini?
 
Kuhiji ndio kufanya nini ,yani nini kinaendelea hapo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wanafunga na kusali .

Waumini wanafanya safari ya Sara kutoka mahali walipo Hadi sehemu iliyoandaliwa maalumu ( na Jimbo) mfano Kwa bukoba ni nyakijooga kila October jpili ya mwisho
 
Halafu mkitoka hapo mnaenda kunywa pombe hadi mjikojolee. RC bhana eti kunywa kidogo sasa kreti zima ndio kidogo?

Eti kunywa ila usitende dhambi sasa hao mabaamedi mnaowashikashika baada ya kulewa sio dhambi?
Hiv pombe inatatizo gani kiroho?
 
Kunaitwa A Disney Land for Adults.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…