Mlio Nyakijoga- Mugana, Bwanjai wilaya ya Misenyi kuhiji tunaomba kinachojiri

Instambul nadhani unatokea sehemu hiyo!
Hapana mkuu.

Mimi sio mzaliwa wa huko but nimeenda kuhiji Sana nikiwa msemiari wa Rubya na rutabo Kwa miaka 9 kabla ya kuhama huo mkoa.

Nimeishi Sana Bukoba mjini.
 
Viongozi wakubwa wa serikali ya mkoa na taifa huudhuria pia
 
Hapana mkuu.

Mimi sio mzaliwa wa huko but nimeenda kuhiji Sana nikiwa msemiari wa Rubya na rutabo Kwa miaka 9 kabla ya kuhama huo mkoa.

Nimeishi Sana Bukoba mjini.
Ok, vema. JF founder anatokea hapo hapo!
 
nimesikia hii kitu, naomba andiko la ushahidi wa Pope kubariki same sex marriages
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…