Mlio single mnaishi vipi?

Mlio single mnaishi vipi?

Niko single ila nina uhakika wa kula tunda muda wowote nkihitaj...


Hii lifestyle n nzuri sana kwa sisi ambao bado tunazichanga mia ziwe buku.

Unaepuka mambo ya "bby ushakula?",... " uko wapi".....
 
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.

Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.

Changamoto mnazokutana nazo.

Nipo serious
Tunakua busy sana na mambo au mishe zetu

mapenzi yanakuja pale tukiwa na hamu

zikiisha tunasepa 😌
 
Hutoweza kuja kwa sababu ipo njee ya uwezo wangu inafanyika zanzibar sasa hatuna tiketi za ndege za wageni za buree waliochangia tu ndio walijumlishwa ila tutakuja dar baada ya honeymoon nitakuinbox uje utupe hongera na my wangu.
Unajimwambafai sio
 
Ukiwa singo kwanza ili uweze kumaintain usingo unakua busy na kazi kiasi kwamba hauwi idle ,unakua karibu n Mungu,ukipata time unaangalia move but usiangalie move za love story wala kusikiliza miziki ambayo itakufanya utamani mahusiano
 
Sikiliza hapa utapata majibu yako👇

 
Ngoja kwanza nitafute hawa viumbe sikuizi wanajiona wolrd bank
 
Back
Top Bottom