Mlio single mnaishi vipi?

Nilishakaa zaidi ya mwaka bila bila na sio kwamba wanaume hawakua wanakuja ila sikutaka tu, inawezekana hii kitu.
Sasa kisa na mkasa wa kukaa mwaka bila kugegedwa ni nini? Mnafaidika nini
 
Niliamua tu. Sikua na mahusiano sikuona haja ya kuokoteza.
Oh safi kabisa....sasa kama unaweza kukaa mwaka bila mwanamme sii maana yake huna shida kabisa na mtibwa sugar kabis maishani
 
Ukifikiria kutafuta pesa muda wote na kuheshimu muda wako kwa kuwa busy na kazi hutopata nafasi ya kuwaza hayo hata siku moja,,,na ukipata pesa pia jifunze kutorudhika endelea kupambana nna uhakika siku zitaenda mbele na hutoona kama unakosa kitu,,dunia ya leo pesa ndo kila kitu maana hata mapenzi pia siku hizi ni biashara kwaio ni kitu unaweza pata muda wowote ule mradi tu mfukoni zipo..
 
Hii ni kweli kabisa na ndo changamoto kubwa tunayokutana nayo sasa,,ila kosa pia tunalifanya tukikutana na wanawake wengi huwa hatuhangaiki kuwafanyia upekuzi tunapeleka mambo haraka haraka tu sasa mwishoni ndo unakuja kugundua kuwa haupo na mtu sahihi,,na kukimbia pia sio suluhu kwakuwa kama kila mwanamke utayekutana nae atakuwa bomu it means katika maisha yako yote utajikuta kila siku una chombo mpya,,na ukajikuta unaishia kubeba laana tu na mamikosi
 
Mzee unaniongeleshaje kiingereza, ulinilipia ada!? Halafu kibaya ni asubuhi, naamka kutoka usingizini nakutana na kiingereza, kibaya zaidi nimeamk na swaumu, nimefunga mwenzio hata daku sijala jana.

Ale in ze moning unaniongelesha kiinglishi kwel[emoji17][emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…