Sidhani...maana handsome boys lazima wakutongoze na ulishasema nyie kwa hao hamnaga ujanja lazima mbususu iliwe tuuMaamuzi tu ya Ke mwenyewe, inawezekana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani...maana handsome boys lazima wakutongoze na ulishasema nyie kwa hao hamnaga ujanja lazima mbususu iliwe tuuMaamuzi tu ya Ke mwenyewe, inawezekana sana
Matumizi mabaya ya mbususu hayaMbona tunakaaa
Nina miaka 3 sasa
Ni maamuzi tuSidhani...maana handsome boys lazima wakutongoze na ulishasema nyie kwa hao hamnaga ujanja lazima mbususu iliwe tuu
Hizzo story tuuNi maamuzi tu
Nilishakaa zaidi ya mwaka bila bila na sio kwamba wanaume hawakua wanakuja ila sikutaka tu, inawezekana hii kitu.Hizzo story tuu
Sasa kisa na mkasa wa kukaa mwaka bila kugegedwa ni nini? Mnafaidika niniNilishakaa zaidi ya mwaka bila bila na sio kwamba wanaume hawakua wanakuja ila sikutaka tu, inawezekana hii kitu.
Niliamua tu. Sikua na mahusiano sikuona haja ya kuokoteza.Sasa kisa na mkasa wa kukaa mwaka bila kugegedwa ni nini? Mnafaidika nini
Oh safi kabisa....sasa kama unaweza kukaa mwaka bila mwanamme sii maana yake huna shida kabisa na mtibwa sugar kabis maishaniNiliamua tu. Sikua na mahusiano sikuona haja ya kuokoteza.
Uhitaji upo lakini sasa inategemea mazingiraOh safi kabisa....sasa kama unaweza kukaa mwaka bila mwanamme sii maana yake huna shida kabisa na mtibwa sugar kabis maishani
🤣🤣🤭Tatizo kubwa ni kujichukulia sheria mkononi
Ukifikiria kutafuta pesa muda wote na kuheshimu muda wako kwa kuwa busy na kazi hutopata nafasi ya kuwaza hayo hata siku moja,,,na ukipata pesa pia jifunze kutorudhika endelea kupambana nna uhakika siku zitaenda mbele na hutoona kama unakosa kitu,,dunia ya leo pesa ndo kila kitu maana hata mapenzi pia siku hizi ni biashara kwaio ni kitu unaweza pata muda wowote ule mradi tu mfukoni zipo..Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.
Changamoto mnazokutana nazo.
Nipo serious
Huu ni uongo! Miaka mitatu utakuwa na tatizo kubwa kisaikolojia.Mbona tunakaaa
Nina miaka 3 sasa
Becky![emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Hii ni kweli kabisa na ndo changamoto kubwa tunayokutana nayo sasa,,ila kosa pia tunalifanya tukikutana na wanawake wengi huwa hatuhangaiki kuwafanyia upekuzi tunapeleka mambo haraka haraka tu sasa mwishoni ndo unakuja kugundua kuwa haupo na mtu sahihi,,na kukimbia pia sio suluhu kwakuwa kama kila mwanamke utayekutana nae atakuwa bomu it means katika maisha yako yote utajikuta kila siku una chombo mpya,,na ukajikuta unaishia kubeba laana tu na mamikosiYaani umesema ukweli kabisa midomo kwa wanawake wengi imekua changamoto saana, ukimpenda sana na kumudumia kila kitu anakuona fala, sasa wanaume wengi wanakimbia kuona anadate na mwanamke akiona hafai mwanaume anasepa haraka basi wamawake ndio inakua amenitumia tu, sijui kanipotezea muda kumbe sababu ya ukweli ni kuwa nidhamu haikuwepo, hakuna mwanaume wa kuanza eti kuhagaika na kukufundisha tabia njema mwanamke mtu mzima unakuta mwnamke mwenyewe umri 40 +
Meaning?Kama nuoka tu.
Mzee unaniongeleshaje kiingereza, ulinilipia ada!? Halafu kibaya ni asubuhi, naamka kutoka usingizini nakutana na kiingereza, kibaya zaidi nimeamk na swaumu, nimefunga mwenzio hata daku sijala jana.Meaning?
Kama nyoka yaani, kula, kuoga, KULALA ni mwendo wa pekee yako pekee yako, kukwichi kwichi ni kwa miadi.Meaning?
Poa poa... Mie sijafunga.Kama nyoka yaani, kula, kuoga, KULALA ni mwendo wa pekee yako pekee yako, kukwichi kwichi ni kwa miadi.
sisi singo tunalala kama nyoka.
Mie nina swaumu, sasa mzee mbona tena mezani na maganda ya mayai, hayo si yangeishia kule kule jikoni, au umepikia mezani?Poa poa... Mie sijafunga.
View attachment 2197252