Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Tunakupata kamanda.......hiii vita inaeleweka japo watoto wanaona tu michezo ya Simba na Yanga ila kwa chini kuna vita kali.......ashinde yeyote ila kuna wapumbavu lazima wafutwe........wakisepa wa Botswana basi waliowaingiza chakike ni wa hukuhuku bongo maana hii vita ni ya hapa..........
 
Kuna watu wana upofu wa rangi wamechanganya CCM na Yanga.......kuna waganga wa michezo na kuna waganga wa siasa kama ilivyo Nigeria mganga wa muziki hajichanganyi na mganga wa siasa
 
Yanga kamuingiza mtu chaka leo,,,,.....na mambo kama ya chuga yamebugi
 
Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
6 sio namba nzuri kwa nyakati hizi......
 
Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Unamaanisha Laban og?
 
Back
Top Bottom